Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,092
- 35,328
Non nato kwahiyo sasa hivi unataka kutuambia ile china uliyokua unaiponda vitu vyake fake now imekua deal,njaa zitawaua nyinyi kwa kujipendekezaChina ni Rafiki ya Tanzania, maybe kwa wale wanakuja kuuza madafu. But when it comes to real money, they all run to Kenya.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1915677156715495549
Wanakuambia fake newsvery harsh sentence indeed
Kitambo yupo kimya sana.Huyu mwamba mbn kmy sn.View attachment 3315002
Saanaaaa joto la jiweKitambo yupo kimya sana.
Tanzania ndio inauziwa utu fake from China. Kenya they come to make legit products.Non nato kwahiyo sasa hivi unataka kutuambia ile china uliyokua unaiponda vitu vyake fake now imekua deal,njaa zitawaua nyinyi kwa kujipendekeza
Kenyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa.
2,880,000 Tzs 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pesa ndogo sana hiyo kwa timu inayojiita timu kubwa. 😂😂😂2,880,000 Tzs 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersTanzania ndio inauziwa utu fake from China. Kenya they come to make legit products.
ila hii picha ni Nigeria! Angalia Danfo hiyo!Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersView attachment 3315068
Slums ziko everywhere, Tanzania is poorer and hungrier than Kenya. Finally Rudisha hii picha penye umeitoa, this is not Kenya.Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersView attachment 3315068
Tuwaachie wakati anatia aibu na makuli usiku kucha huko nje 😁😁Walidhani Ruto ni rafiki wao. Walianza kusema labda hata Ruto sii mbaya, ni Wakenya wabaya. Ona sasa, tukiwaambia watuachie jangili yetu sisi ndio tunalijua hawaskii. 🤣 🤣
Slums ziko everywhere, Tanzania is poorer and hungrier than Kenya. Finally Rudisha hii picha penye umeitoa, this is not Kenya.
41% of Tanzanians live in slums. Alafu Ebu tuonyeshe hiyo slum ya Ruai tuone.
Hamna chochote mnachoexport zaidi ya chai yenye kibillion ki1, hapo na Remittances zimoKenyan service export alone is $10B, hapo hujaongeza export of goods.
Nakumbuka zile ahadi za mfaransa na Mmarekani kwa kenya leo ziko wapi, kadanganywa ili arudishe bakuli nyumbani