Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,713
- 107,158
na kelele zoote zile!Hatubahatishi ebu tuambie safaricom anasomeka kiasi gani cha faida
![]()
na kelele zoote zile!Hatubahatishi ebu tuambie safaricom anasomeka kiasi gani cha faida
![]()
Kwani hamkuwa mmeuziwa? Ama ni Bamburi gani ya Uganda ulikuwa unasema Amsons wamenunua? Wewe rudi Yemen juu akili yako haikusaidii.sisi ndio tunataka kununua sasa kama tulivonunua bamburi kenya na ya uganda tutanunua kwasababu pesa ipo na biashara tunazijua vzr sana 😂😂😂😂😂
Tuonyeshe kampuni yoyote Tanzania with a profit of Ksh84B.na kelele zoote zile!
You can tell ChatGpt whatever you want 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇 Na yenyewe ikajibuBongoslum bado wako nyuma kama haga. Traffic police lazima aende aweke watu ameshika Kwa portal,the system is not fully automated.
View attachment 3310958
Majamaa ni wapumbavu kweli kweli, that alone should tell you that these idiots doesn’t own cars. Hata kuendesha hawajui cause you can’t be a driver na ukose kujua what speed camera is😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Naishaaaaa
Sijaona Camera Speed kutoka kenya 🤣🤣🤣🤣🤣Nimeona hii battle itakuwa one side. Onesha Speed Camera za Kenya tuzione tuchekeKupata speed Cameras imekushinda?😂😂🤣😂
Ndio umejua kutumia ChatGPT leo?
nimekwambia jamaa kashatoa pesa anaitaka na bamburi ya uganda kwani shida ni nn si pesa tu 😂😂😂😂Kwani hamkuwa mmeuziwa? Ama ni Bamburi gani ya Uganda ulikuwa unasema Amsons wamenunua? Wewe rudi Yemen juu akili yako haikusaidii.
Hapa ni Bwawani Kuelekea Morogoro, Speed Camera. Tuoneshe za KenyaKupata speed Cameras imekushinda?😂😂🤣😂
Mimi ni part ya watu waliotengeneza na kuchangia vitu vingi kwenye ChatGPT. Au unataka nikuoneshe namna tunavyofanya kazi nao?Ndio umejua kutumia ChatGPT leo?
Hata hujui what questioning sentence is.Tunaanza kwenda details sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇 Taarifa za wakenya hutakiwi kuamini akiweka humu neda kafanye verification
View attachment 3310962
Kwani wewe ni mkenya? Cause as far as i can remebef Kenyans contrbuted to huge success of Chatgpt.Mimi ni part ya watu watu waliotengeneza na kuchangia vitu vingi kwenye ChatGPT. Au unataka nikuoneshe namna tunavyofanya kazi nao?
This are surveillance cameras😂😂🤣
Mzee mbona umeanza kuwa Defensive tena 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ninakuletea picha wewe umekaa tu. Hii picha ni ya mwaka 2019 👇👇👇👇Hapo ni bwawani T2Hata hujui what questioning sentence is.
Hakuna a single Kenyan alikuwa kwenye project hiyo. Only Bright People walikuwa wanachukuliwa. Walikuja wakenya wakapigwa chini. Unataka nikuoneshe proof?Kwani wewe ni mkenya? Cause as far as i can remebef Kenyans contrbuted to huge success of Chatgpt.
surveillance kwaajili ya nini hapo barabarani?This are surveillance cameras😂😂🤣
Wewe hakuna unachojua, you just talk to much.Hakuna a single Kenyan alikuwa kwenye project hiyo. Only Bright People walikuwa wanachukuliwa. Walikuja wakenya wakapigwa chini. Unataka nikuoneshe proof?