Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🀣🀣
Hiyo siyo harusi pekee kijana, is a bussiness event. Hapo ni fashion show, hao watanzania watapata deals kubwa sana za kimataifa. Ushamba bado umewajaa wakenya. Kwa sasa Tanzania sherehe ni business event.
 
Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?

Mwisho hoja ni intra-Africa trade kufeli Kwa sababu Nchi zenu zinaongozwa na mbuzi kiasi kwamba Mko radhi kwenda Brazil kununua mahindi na msagirishe Kwa gharama kubwa wakati yapo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na Zambia.

Na sisi πŸ‡ΉπŸ‡Ώ hatujawahi kosa soko hata siku Moja as we speak domestic market Kwa Sasa mda wa mavuno inakariba ni 570-800 Tsh/Kg hapo Bado NRFA hawajanunua.
 
Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?
Nimelazimisha vipi na umepost wewe mwenyewe ukilalamika? 🀣 🀣 🀣 🀣
Alafu unakana na bado unaendelea kulalamika πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Sasa kama hamjakosa soko mbona mnalalamika Kenya tukinunua kwengine? Your whole post is so full of contradictions it's sad.
 
Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
I can't remember the number of times these people have bragged how much they feed us, kwamba bila wao tutakufa njaa!

Wewe naye unaandika upupu mtupu, Watanzania waombe msamha kwa Ruto kwa sababu zipi hasa??
Tanzania ndio inalisha Kenya, Rwanda na Burundi kwa asilimia zaidi ya 70%.


Hii kelele na malilio ya leo ni ya nini tena?🀣🀣🀣
 
Mwambie akutajie kampuni tatu zenye profit more than KES 2B ucheke. Hiki kitoto hakielewi KES 2B ni Nini maanake hakina mathematical sense kichwani. Labda kinadhani ni 2B ya madafu ya Bongolala.🀣🀣
Wanacheka yet 99.99% of Tanzanian companies are only dreaming of that Ksh2B profit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…