Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,955
It’s made in Kenya and sold in Tanzania.Hii sio brand ya kikenya. Chill. 🤣🤣🤣🤣
It’s made in Kenya and sold in Tanzania.Hii sio brand ya kikenya. Chill. 🤣🤣🤣🤣
Ni mimi nilisema hivyo kijana na nilikutajia nchi zinazotengeneza Lithography. Kama upo tayari kujifunza nitakufundisha na uelewe semiconductor ni nini.Aren't you the same guys who said companies that make semiconductors duniani hazizidi 15? Kumbe moja yao ipo hapo Kariakoo?🤣🤣🤣
Anaitwa Joseph Konzo ni rafiki yangu mzaliwa wa Iringa. Namjua.Hebu search na kodtec owner wake ni Nani afu uje hapa.
Nani kasema kariakoo Kuna watu wanatengeza semiconductors ulicholeta ni microcontroller na zipo kibao tu kariakooAren't you the same guys who said companies that make semiconductors duniani hazizidi 15? Kumbe moja yao ipo hapo Kariakoo?🤣🤣🤣
Wewe ni jack of all trades humu, hilo tunajua. You are an engineer, mathematician, ICT guru, accountant, name it.Ni mimi nilisema hivyo kijana na nilikutajia nchi zinazotengeneza Lithography. Kama upo tayari kujifunza nitakufundisha na uelewe semiconductor ni nini.
Mimi ni mtaalam wa ICT. Nilishasomea Electronicts na nipo kwenye Field.
Upo tayari kujifunza?
Ooh really?Nani kasema kariakoo Kuna watu wanatengeza semiconductors ulicholeta ni microcontroller na zipo kibao tu kariakoo
Haha mwenzako anajua ndo semiconductors asijue kariakoo watu wanayatengeneza Tena kimtaamtaa tu
Kiswahili kigumu kwakoOoh really?
Acha kuongea uongo mdogo wangu. Can you quote where I said Semiconductor Companies are found in Kariakoo?Wewe ni jack of all trades humu, hilo tunajua. You are an engineer, mathematician, ICT guru, accountant, name it.
Back to the question... did you say there are no more than 15 companies making semiconductors in the world? Why didn't you tell us that one of them is found in Kariakoo?
Amekosa hoja anatafuta pa kupumulia haoni wenzake wote wamehepaAcha kuongea uongo mdogo wangu. Can you quote where I said Semiconductor Companies are found in Kariakoo?
Kaka, uwezo mdogo lakini anataka mambo makubwa 🤣 🤣 🤣 🤣Hajui hata vita ya USA na China kuwa ni SemiconductorsAmekosa hoja anatafuta pa kupumulia haoni wenzake wote wamehepa
Kuna kitu sijui anakijua Wafer fabrication toolsAmekosa hoja anatafuta pa kupumulia haoni wenzake wote wamehepa
| Rank | Company Name | Country | Market Share (approx.) |
|---|---|---|---|
| 1 | Shin-Etsu Handotai | 🇯🇵 Japan | ~30% |
| 2 | SUMCO Corporation | 🇯🇵 Japan | ~25% |
| 3 | GlobalWafers Co., Ltd. | 🇹🇼 Taiwan | ~17% |
| 4 | Siltronic AG | 🇩🇪 Germany | ~10% |
| 5 | SK Siltron | 🇰🇷 South Korea | ~10% |
| 6 | Wafer Works Corp. | 🇹🇼 Taiwan | Smaller share |
| 7 | Ferrotec | 🇯🇵/🇨🇳 Japan/China | Smaller share |
| 8 | Okmetic | 🇫🇮 Finland | Specialized wafers |
| 9 | MCL (Zhonghuan Semiconductor) | 🇨🇳 China | Growing in market |
Hii hapa ndio List ya Companies zinazotengeneza Semiconductor Duniani. Tuoneshe just a Single Diode iliyotengenezwa kenya. Your leaders have misled you.
| # | Kampuni | Nchi | Aina ya Uzalishaji | Sehemu ya Soko (%) |
|---|---|---|---|---|
| 1 | TSMC | 🇹🇼 Taiwan | Foundry | 64.9% |
| 2 | Samsung Foundry | 🇰🇷 Korea Kusini | IDM & Foundry | 10% |
| 3 | UMC | 🇹🇼 Taiwan | Foundry | 6% |
| 4 | GlobalFoundries | 🇺🇸 Marekani | Foundry | 6% |
| 5 | SMIC | 🇨🇳 China | Foundry | 5% |
| 6 | Hua Hong Semiconductor | 🇨🇳 China | Foundry | 2% |
| 7 | Tower Semiconductor | 🇮🇱 Israel | Foundry | 1% |
| 8 | Vanguard (VIS) | 🇹🇼 Taiwan | Foundry | 1% |
| 9 | Powerchip (PSMC) | 🇹🇼 Taiwan | Foundry | 1% |
| 10 | Nexchip | 🇨🇳 China | Foundry | 1% |
Ugua pole bongolala 😂😂😂Kuna kitu sijui anakijua Wafer fabrication tools
Kwanza inatakiwa ajue Wafer ni kitu gani
1. Kuna Companie 9 pekee duniani zinazo manufacture Wafer, nitazitaja hapo baadae
Hii hapa ni Silcon Wafer
View attachment 3307718
2. Wafer fabrication tools
Wafer fabrication tools are specialized equipment used to process silicon wafers into semiconductor chips
Sasa mtu anakuja na domo lake anatupigia kelele eti wanatengeneza Semiconductors ubavu huo wanao?
They are so desperate and angry at the same time 🤣🤣🤣🤣
Hayo maelezo tu any person can do that. Labda unataka tubishane tu.Ugua pole bongolala 😂😂😂View attachment 3307725
Ndio kwanza naiskia kwako 🤣🤣🤣🤣. Ni Indian brand na haipo Tanzania. Chill.It’s made in Kenya and sold in Tanzania.
Unajifurahisha tu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Because you are stupidThey are so desperate and angry at the same time 🤣🤣🤣🤣