Mameee eti Kibera 2017....
Ati nin
Lewis254 the flats are just few in numbers msee
Don't make us like a dumb, kuna more than worst behind such a flats....
Tuflats tuwili ndo unataka Ku_conclude kwa kibera yote... Shabaaaaash.....
OK toa kibera, kuna ushuzi wa Mathare, Changarawe, Kisumu dingo, na viushuzi ushuzi vingine... Mna hali mbaya kuliko kawaida kazi kukaa hapa mara ooh DC DC DC DC... DC mtakua nyieee nyambaafffffff mnaishi ktk mazingira magumu na mabaya kupata kuishi mtu wa kawaida duniani
Nairobi mnayoipaisha hapa, watu mnaishi kwny hizo Dormitories ndo mnaona nin sijui... Nairobians wanichekesha sana kwa kwelii, kazi kukazana eti ooh Higher GDPA sijui DC sijui famous yaan wakenya ni walimbukeni sana.....
Turkana huko watu wana hali mbayaaaa, Huko Mandera ndo hatariii + sehem nyngn
Yaan hata sijui huo u_DC wameupata kwa vigezo gani... Ooh labda kwa kukimbia kimbia ovyoo + Obama + Lupita Nyongo + Simba rugby ndo sources za nyie kua lower DC
Ila milele mtabaki poorly km nchi nyngn za Africa
Good Afternoon