Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Woi eti arushaa....bona you can find MST of Hindus movie acted in msa not whole of ur villages towns
Yani msa in famous hadi Indian country.... Lkn dar .is known east Africa at a wasee waezi tembea uko....poor sodoma is known ....mm.nilijua dar kwa wanamziki....yani in shot ....dar aijiuzi
Diani ni beach number one
Kuna UNESCO heritage site msa msee
 
Kwan sio fact kua kibera watu wanaishi kwenye mabati ????huo ni ukwel na ni fact
Kibera Hamna 2.5 m ...labda dar.....kibera....kuna pia...watajiri.....solo nyie mnaota eti sasa ju Kenya kuna slum eti sasa mumepiku 254 m anafaa mfikilie vizuri
 
111549_d48bac3cb3f30beb1ae0ac6780fb725e.jpg
111550_e4b116d39b324b681aa2a411bfc0be45.jpg
 
kenya hakuna mwaka hua unapita salama kwao bila njaa na njaa kwa sasa ishakua part ya maisha yao
Hahahahh ukiona watu wanakula makande (githeri) ujue hali mbaya ...wakati tanzania kande tunakula ka chakula cha asili ukienda bush kwa bibi ndio unakumbushia makande saa hiz kunyans makande ndio regular food kwa walio wengi hasa nairobi hahahahah
 
sasa ww ni nani kama Mtzee mwenzako kasalimu amri hapa>>>
Nilibase kwenye tourism only,tatizo unadandia tren kwa mbele ...
Colloh alivyonamdomo ukiona kamute ujue sindano imegusa borne
 
Nilibase kwenye tourism only,tatizo unadandia tren kwa mbele ...
Colloh alivyonamdomo ukiona kamute ujue sindano imegusa borne
huwezi kufananisha Mombasa na vitu vya upuzi upuzi. Mombasa iko juu kwa kila kitu. Mombasa inaeza toa dar is slum kijasho chembamba
 
Back
Top Bottom