Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa kuna vivutio vingi pia na hoteli. Nikianza saa hizi kupost hoteli pekeyake itachuka wiki nzima bado sijamaliza
Wiki nzima kama utaanza kutuma na hoteli bubu ,hotel za viwango ni issue ya dk 5 unamaliza, Lewis254 tatizo umezoea kukaa na watoto wadogo na kuwapigia hadhithi za alikinacha...
 
Wiki nzima kama utaanza kutuma na hoteli bubu ,hotel za viwango ni issue ya dk 5 unamaliza, Lewis254 tatizo umezoea kukaa na watoto wadogo na kuwapigia hadhithi za alikinacha...
ndio ujue Mombasa si size yako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shukran Mtzee kwa kulitambua hilo. Wafahamishe na wenzako pia wapate kujua.
Karibu Kenya.
Hii manaeno wanaleta hapa hawawezi dhubutu kuleta politics palace sababu ikiwa hawatasikizwa na watapewa ukweli hadi wapotee. Kenyan section is their only hope to have their say and try to impose their way lakini naona WaKenya hapa wamewadhabiti ikabaki wanahema na kuweweseka wakitokwa na povu.
 
Asidanganyike na nini???? Wakenya wa kot wanasema ukwel kizur wanasifia na kibaya kilichopo nnchi mwao wanaponda saa nyie wa hum jf mnataka kujifanya midomo mirefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…