Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gunajidaganya pesa yenu bure 2 Alafu m2piku kivipi...yani mnaota hau....assuming Alafu hopes zakifala
great britain pound iko juu ya sarafu ya euro lakini germany inauchumi mkubwa kuliko britain😀😀

ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi😛😛
 
Ulemavu sio crime against humanity, mimi ninazungumzia more than 60% ya population ya Nairobi inayoishi slums, bila vyoo, maji wala umeme, that should be crime against humanity
Wacha kuruka inaletwa na ushamba wa unyumbani na piauchawi na uko kwenyu kuna ushawi.....dio maana m.wataki wazungu eti.wasiharibu culture yenu na uviswahili...mnajikuta na lemb person
 
Back
Top Bottom