Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It doesn't matter pal,weka vitu vinavyowaita watalii kwa wingi apo...the most important areas ....whether wanakuja kwa mashua or dreamliner I don't care
Diani beach ni number one Africa
Mombasa iko na UNESCO historical heritage places kama fort Jesus
Iko na zoos..vivutio ni mingi
 
joto la jiwe, come on man, I need you to pass me that high grade kush you smoking.
where did you find this from >>>
Mbona ninyi hadi leo hamjalipia mahindi mliyochukua toka Tanzania mwaka 2014 na tuliwasamehe?
Tuliwasamehe pesa ya mahindi 2014, mwaka huu China imewapa mahindi bure, lakini bado njaa inaendelea kuongezeka, kwanini msituachie sehemu ya Mombasa ili tuwe tunawaletea chakula cha bure kila mwaka?

?
 
Diani beach ni number one Africa
Mombasa iko na UNESCO historical heritage places kama fort Jesus
Iko na zoos..vivutio ni mingi
Ufala ni kutaja zoos,
Chuga ni landlocked so habari za beach hazina nafasi,twende sasa hapa
1.NgoroNgoro Crater
2.Serengeti National Park
3.Manyara National Park
4.Mount Meru Mountain ,hii ina 4000+meters

Uko parks kuna lodge za levels za kimataifa na hotels kama Singita ni Moja ya hotel nzuri Duniani apa sizungumzii Ushindani Go Google kwa faida yako kulala Singita per night sio chini ya 1200$
 
Serengeti iko arusha???
 
Cool down my friend, there some people here who need these type of replies because they don't use brain, I hope you get my point.
hahahaha........ msee usituchoshe na ma-essay mengi humu ndani... hatuko hapa kuchekeshana.
another thing, usituletee zile statistics zako 40% unemployment, 90% poor, 70% blah blah blah... punnguza kuropoka msee. usidanganyike na opinion za an individual from KOT or facebook ukatuletea hapa.
 
Woi eti arushaa....bona you can find MST of Hindus movie acted in msa not whole of ur villages towns
Niangalie movie ya kihindi nimeishiwa movie kbisa Au ?
Tatizo lako hujawah toka Apo Mombasa unadhan Hakuna sehemu zingine right?
Mombasa kwa utaliii Haiwezi Arusha
 
Back
Top Bottom