The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kuanzia leo ieleweke kwamba Mkapa stadium ina capacity ya 62k na sio 60k, jilani tabu haziishi, alidhani ametujibu kwa uwanja wa 60k kumbe Mkapa ina 62k 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Viti vipya 62K au nimesikia vibaya!
![]()
108K views · 4K reactions | Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea. | Gerson Msigwa
Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea.www.facebook.com