Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

19943005_1613027028710471_4512536871604380365_o.jpg


mwanza
 
Huko kwenye mbio mmetushinda walaaaaa hatukatai sababu watanzania hatuwezi shindana mbio na wezi ....et jamani ulishawai ona wapi mwizi hana mbio??? Wezi wote wanajua mbio na ndio kinachowaokoa mabwege nyie
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
kwanza atuoneshe link kua 98% ya uganda cargo inapita kenya😀😀😀😀😀
Usihangaike sana na hawa jamaa inabidi uwazoee tu, kwanza hawana taarifa za ukweli, wao muhimu ni kutaka sifa za kijinga kwa kupika data.
Ukweli ni huu
1)80% of transit goods through Mombasa port go to Uganda
2)70% Of Uganda imports go through to Mombasa port

These equations are too advanced for majority of Kenyans to digest
 
Back
Top Bottom