Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha sasa ni ujinga baada ya wewe kuishiwa hoja na kupewa ukweli.
Ukwel gani tatizo lenu nyie vijana wa Voi mko na maneno sana...Yaani mtu unaweza argue Nae na akakubali points na mkamaliza poa ni Jay tu...mm walasia shaka
 
Not for long!! [emoji1].. Ebu tuonyeshe plans za kujenga uwanja mzuri wa International standard maana so far hamna any! i was shocked nilivyo ona mlikua mnataka kuanda CHAN kwenye viwanja vya Machakos na Kakamega. Tena iko kiwanja cha Machakos ndiyo mme ki upgrade [emoji2] na kina kaa zizi la ng'ombe. Mnatia huruma sana
Ytuonyeshe uwanja kutoka arusha
 
Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?

Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
 
bradhe kuna stadium mbili za kisasa zinapangwa kujengwa kwa miaka minne...hela zishaachiliwa, land has already been st aside
 
Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?

Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Sababu omba omba wengi wenu wapi KENYA na vijibakuli.
 
Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?

Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Nyinyi 2 ombaomba Nairobi.na chokora msa.....mnaeza 2skiza non sasa
 
Nakupa funzo bure unaniita asiye na akili? Wajua kiswahili changu kibofu si waweza pia kuwa Mwalimu wangu?
Haha wewe hauna akili kama mwl wako hakuweza kukusaidia mm ndio ntaweza? [emoji23][emoji23]
 
Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?

Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Mzae,, hatuko hapa kwa Essay Writing competition... na hatutaki waropokaji.

Hebu nichanue hapa>>>
Mbona ninyi hadi leo hamjalipia mahindi mliyochukua toka Tanzania mwaka 2014 na tuliwasamehe?
 
Ethiopia is good in athletics
Kenya is good in athletics, rugby and cricket
Uganda is good in soccer and a little athletics
Tz is good in kupiga domo pale Darsalam
whats the use for a nice stadium?
 
Mombasa Kenya- Undergoing transformation
Show me a road like this in Dar es Salaam
momsaa.jpg
momsa.jpg
mombasa.jpg
 
Back
Top Bottom