chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Mkikuyu atabishanaje na hajui kuongea? 😂😂😂 Anaongelea kwenye mapua, Mkikuyu anamuelewa Mkikuyu mwenzake tu 😂😂😂 wana syllables zao wenyewe, to grow wanasema tunguruuu 😂😂😂Wenzao Kikuyu wapo maeneo mazuri. Wanakula mema ya Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 Huwezi muona Kikuyu anabishana ovyo
View attachment 3302748