Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simba inakua club ya pili East Africa kumiliki Mercedes Benz iriza i6. Baada ya hii ya Azam 👇🏾View attachment 3302215View attachment 3302216ya simba inaoneshwa tarehe 16 kesho kutwa. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIXDz_XNxZ8/?igsh=anE2dmhsaHM0Yndn. Kenyan football club can’t relate. 🤣🤣

kiwanja cha bunju kimemshinda muhindi itakua irizar ya over 1b 😂😂😂😂😂

viongozi wa simba wamezoea uongo uongo na kuwajaza upepo mashabiki
 
Ndio mnatengeneza milk powder ya kwanza 2025? Kweli Tanzania ukuanga backward sana😂😂😂🤣.

Kenya made these things in the 1970’s.
unafurahia kifo au sio 😂😂😂😂

watanzania wengi hawapendelei milk powder huku wengi wanakunywa maziwa fresh mfano mwanza unaletewa maziwa fresh mpaka nyumbani then unafkiri nani atakumbuka milk powder?
 
Ndio mnatengeneza milk powder ya kwanza 2025? Kweli Tanzania ukuanga backward sana😂😂😂🤣.

Kenya made these things in the 1970’s.
My grandpa made me tea with this …kweli Bongo iko Nyuma sana
IMG_6443.jpeg
 
Nilidhani hii habari ingekutoa machozi lakini kwasababu ni mpumbavu unajichekesha. Hizi ndio zilikua bidhaa za kenya zenye utapatananazo kwenye shelves za maduka za bongo. But guess what.? They will no longer be there. Mnampoteza Mteja muhimu kabisa. You are done. 🤣🤣🤣
Bidhaa zipo za Milk Powder kutoka kenya?
 
Wana lafudhi mbovu iliyochanganyikana na lugha za makabila.
JF ingekuwa na sehemu ya voice note tungecheka sana. 😂😂😂
😂😂😂 Na English pia hawajui, caption kaandika immunity kwenye video anasema immbbbyyyuunite anamquote mtu anaesema impunity 😂😂😂 huyu acha wamuabduct tu


View: https://x.com/MaryKwamboks/status/1910922068406792419?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1910922068406792419%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Back
Top Bottom