NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,011
- 19,186
Looks like 300BC Roman empire amphitheaters in their ruined state.š¤£Best ligi in Africa, uwanja umeoza šView attachment 3295157
Looks like 300BC Roman empire amphitheaters in their ruined state.š¤£Best ligi in Africa, uwanja umeoza šView attachment 3295157
Kuna wakati walikua wanabishana about this. 𤣠𤣠𤣠Dar is a slum is not even close to becoming a cashless city.
View: https://x.com/iamBEBERU/status/1899783312861802722
Changan auto kumbe ni show room ya Deepal na hatuambiwi jamani.? š¤£š¤£š¤£š¤£ Changani auto Tanzania šš¾. Login ⢠Instagram. šš¾.Design mko nyuma bro, mnafurahia kuona ligari moja kwa barabara when in Kenya walifungua showroom kitaambo, probably hio gari inenunuliwa huku šš
View attachment 3295315View attachment 3295317View attachment 3295319View attachment 3295322
Kumbe kimoyomoyo mnazitamani sana hizi bati nyekundu ila uwezo ndio hamna š¤£š¤£š¤£š¤£Govinda umeathirika na ma slums ukajua hayo pia ni ma slums, hiyo ni smart city hairuhusu makazi holela kama Nairobi au Mombasa, nmekuvutia picha jionee bati nyekundu hizo ššš„°š„°ššView attachment 3295190
Hawa watu Mimi huona Wana projection kubwa sana. Kila siku ati ooh wazungu mabwana zenu yet wao ndio wale wale wanaotafuta validation ya Mzungu kuliko yeyote Africa. Muone huyu hapa.šš¾šš¾Kwa hivyo mlikua munajaribu kucopy hii. 𤣠𤣠𤣠Poleni it flopped. Hio yenu ni msikiti.
Nyie si mnapenda kutukuza wazungu, haya huyu hapa Youtuber mkubwa kabisa amezunguka nchi zote duniani likiwemo bara zima la Africa hapa ana rank nchi zote za Africa from best to worst
View: https://youtu.be/7QBOfrwkWBU?si=QiehvrkHWaqJ3sG5
Tuonyeshe picha mpya kutoka Dar tuoneKwani Nairobi hakuna sehemu mpya? Since 2017 ni picha hizi hizi tu, since Dodoma pori mpaka sasa the most organised city in East and Central Africa bado mnapost vipicha hivi hivi .
"Kulingia" ndio kisukuma au ndio kinyamwezi?Nyie wakenya ni washamba sn sasa hiyo ni pesa ya kuja kulingia huku? No wonder wachezaji wenu wana maisha magumu sn.
Ukilaza haitakuacha wewe!Em itoe hiyo kenya hapo katikati, hili litakataka umeachiwa urithi na mkoloni. š¤£š¤£š¤£. Unaleta mijumba ya karne ya kale kama reference yako, hizo courts unaona hapo zina resemble culture zao katika ujenzi? š¤£š¤£š¤£ šš¾ sahii court zinajengwa kisasa. šš¾. Unajua wapi hiyo.?View attachment 3295281hii je .? šš¾Singapore supreme courtView attachment 3295283View attachment 3295284we nowdays consider modernity sio hizo structures za wazungu. š¤£š¤£
Half ot the teams in Tanzania collects in a season less than what Shabana does in one game."Kulingia" ndio kisukuma au ndio kinyamwezi?
Wewe tuonyeshe gate collections za timu zenu tuone
Wenyewe wanashangaa wakifika Tanzania, wanashangaa iweje tuna development kubwa hivi wakati tupo kimya na kiswahili
View: https://youtu.be/w3rhU4tqpK0?si=kLWvuxdB85e-ynBq
Govinda ile battle yetu vp?Ukilaza haitakuacha wewe!
Eti "we nowdays consider modernity sio hizo structures za wazungu" wakati unaniletea mifano kutoka Singapore!! Kwa hivyo Singapore ni nchi ya wazaramu kutoka Tanganyika?
So this was their judiciary building before the "upgrade"? š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Kumbe sio kupenda kwenu
Enyewe when you move from a place like this lazima mtapiga kelele. Nimeelewa sasa
View attachment 3295294
View attachment 3295295
Wewe kojoa ulale. Unajifanya hapa haukuona replies zangu za mitaa za dreamhouses ama ndio kutafuta attention?Govinda ile battle yetu vp?
National team tunawapiga kama burukenge Kila siku!Nafurahi kuona watanzania hawawajibu kuhusu soka cz we aren't the same, tumewapita mbali kwenye soccer la vilabu mpaka national team, hatutawajibu kwasabu kwanza wachezaji wanalipwa pesa mingi kuliko nchi nyingi za hapa Africa, hatuwajibu kwenye soka, endeleeni kupiga kelele ila hatutowajibu.
Spartacus must have been acted there š¤£š¤£šWhat happened here! Is this like an ancient gladiator arena?
View attachment 3295298
View attachment 3295299
Hebu leta statisctics za fifa na CAF basi tuone mlipo. š¤£š¤£š¤£National team tunawapiga kama burukenge Kila siku!
Vilabu ambazo vilabu zetu zimegeuza wake zao.
Wewe ni kama unaishi dunia nyingine.
Hebu tuletee gate collections za timu zenu uache kutupigia kelele hapa na kutafuta pa kutorokea
Changan auto kumbe ni show room ya Deepal na hatuambiwi jamani.? š¤£š¤£š¤£š¤£ Changani auto Tanzania šš¾. Login ⢠Instagram. šš¾.
View: https://www.instagram.com/reel/C7JYyNCuWK9/?igsh=MTJxcHBxMTB5NGl3dw==.