REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,645
- 11,609
Sio unadhani ni unatoa harufu mbaya kinyama! Huo ungaunga unakuwaga wet always. Ni primitive societies kama Kenya, South Africa, Zimbabawe ndio wenye maisha ya kilofa kuishi na mikia.Mkono wa sweta. 🤮🤮. Unakuwaga na unga unga flani, ujue ule mkono wa shati kimsingi una attract magonjwa, Nadhani utakua unatoaga harufu. There’s no way mtu anaeza usafisha vizuri. 🤣🤣
"Msafiri mmoja amelalamika" halafu malalamiko yake ya clip ya video kayapeleka kwa mwanaharakati anayeishi Nairobi, Kenya!!??
How much did your clubs earn per year na Dstv sponsorship tuanzie hapo
Tell me one good advantage of being circumcised. Wewe Kama baboon Mbona ulitahiri? Give me your own reason, sio kuambiwa.Haya pole.. 🤣🤣 ila nakupa tu ushauri wa bure , you better be circumcised.. you still have time, huko Nairobi kuna baridi itakuchukuchukua mwezi mmoja tu kupona. Wala usione aibu ndugu yangu katika bwana.
Na mtoto wetu pia usimrithishe hizo mila, itampa tabu sana ukubwani ikitokea atafanikiwa kusafiri na kuishi nchi zingine.
In Tanzania watu wanatahiriwa wakiwa wadogo sana. Na ni aibu kubwa sana kwa mtoto wa miaka 13 kwenda shule hajatahiriwa. As usual, nyie endleeni kujifariji na nitakwimu uchwara from google.Hio swali uliza wenzako huko bongoslum.
View attachment 3290351
300k Kenyan shillings.How much did your clubs earn per year na Dstv sponsorship tuanzie hapo
Bongolala do you know how surveys are done? Did you learn about something called sampling in school? Yani kwa akili yako ya kitanganyika na ujinga iliyopitiliza pamoja na elimu duni you expected a survey of whatever kind to cover a whole population of 50m+ people?Kwanza hii report hausiani na kenya kama taifa zima🤣🤣🤣 hii ilikua ni survey iliyofanywa kwa idadi kiduchu ya wakenya 16k people . And here is the results. Pole. 👇🏾View attachment 3290421🤣🤣🤣.
Nyinyi nna magovi. Wazee. Magovi nyie. 👇🏾 Status of Voluntary Medical Male Circumcision in Kenya: Findings From 2 Nationally Representative Surveys in Kenya, 2007 and 2012 - PMC.
And you wonder why they think Circumcision is everything in this world. Yani mtu hajui hata sample ni nini and its importance in a survey. Very stupid people.Bongolala do you know how surveys are done? Did you learn about something called sampling in school? Yani kwa akili yako ya kitanganyika na ujinga iliyopitiliza pamoja na elimu duni you expected a survey of whatever kind to cover a whole population of 50m+ people?
Alafu wewe ndio unategemewa kwenu na kiiji chenu kwa jumla kama msomi! Unatia huruma!
Kama kawaida takwimu yeyote ambayo haiko on your favor ni uchwara. Leta takwimu zako ambazo sio uchwara au unyamaze, hapa we don't deal with hearsay.In Tanzania watu wanatahiriwa wakiwa wadogo sana. Na ni aibu kubwa sana kwa mtoto wa miaka 13 kwenda shule hajatahiriwa. As usual, nyie endleeni kujifariji na nitakwimu uchwara from google.
Same to me here. Mimi nasikianga tu Azam. Hata decoder yenyewe sijawahi onaHata hio dish ya Azam sijawai kuona hata moja. I wonder who watches that thing ju hata kwa bar haziko.
Huyo andhani kutae ndio kua na akili yet anareason kama kipii. 🤣 🤣 🤣Bongolala do you know how surveys are done? Did you learn about something called sampling in school? Yani kwa akili yako ya kitanganyika na ujinga iliyopitiliza pamoja na elimu duni you expected a survey of whatever kind to cover a whole population of 50m+ people?
Alafu wewe ndio unategemewa kwenu na kiiji chenu kwa jumla kama msomi! Unatia huruma!
Takwimu sahihi ni takwimu zinazotoka kwa taasisi husika na si vinginevyo kama vile Ruto, a head of state, alipoutangazia umma na ulimwengu kuwa Tanzania ni kinara wa regional trade.Kama kawaida takwimu yeyote ambayo haiko on your favor ni uchwara. Leta takwimu zako ambazo sio uchwara au unyamaze, hapa we don't deal with hearsay.
The dude expected the survey to capture every Kenyan. Why is it called a survey then if that's his expectation? Hawa vilaza sijui wanafundishwa nini kwenye hizo shule zao!And you wonder why they think Circumcision is the everything in this world. Yani mtu hajui hata sample ni nini and its importance in a survey. Very stupid people.
So Ruto ni taasisi?🤣🤣🤣Takwimu sahihi ni takwimu zinazotoka kwa taasisi husika na si vinginevyo kama vile Ruto, a head of state, alipoutangazia umma na ulimwengu kuwa Tanzania ni kinara wa regional trade.
Wewe hata chakula kibovu kukiona mara kwa mara ni shida anasa ya decoder utaiwezea wapi?Same to me here. Mimi nasikianga tu Azam. Hata decoder yenyewe sijawahi ona
Chakula? 🤣🤣🤣Wewe hata chakula kibovu kukiona mara kwa mara ni shida anasa ya decoder utaiwezea wapi?
Decoder ya Azam is just 1500 bob sasa hiyo ishinde nani?Wewe hata chakula kibovu kukiona mara kwa mara ni shida anasa ya decoder utaiwezea wapi?
Kwa hivyo the rest of the people sharing their negative testimonies and those agreeing with him wanaishi Nairobi pia? Wewe hua na akili ndogo sana. Instead of solving your problems munapenda tu kulialia na jina ya wakenya, nowonder mutaendelea kubaki nyuma."Msafiri mmoja amelalamika" halafu malalamiko yake ya clip ya video kayapeleka kwa mwanaharakati anayeishi Nairobi, Kenya!!??
Wakenya mna wivu na roho mbaya sana na mnafanya kila muwezalo kui sabotage reli yetu.
Hakuna taasisi kubwa kwenye nchi kama 'presidency', and Ruto is the head of that institution.So Ruto ni taasisi?🤣🤣🤣
Ruto akisema kitu inawafurahisha then anasema ukweli, akisema vitu hampendi basi hiyo anadanganya. Mbona mnapenda kuishi dunia ingine tofauti?Hakuna taasisi kubwa kwenye nchi kama 'presidency', and Ruto is the head of that institution.