Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now this is the list of most beautful stadiums EA.

1. Arusha stadium View attachment 3289227View attachment 3289228
2.Talanta stadium View attachment 3289229
3.Amahoro stadium View attachment 3289230
4.Dodoma stadium View attachment 3289231
5.Mkapa stadiumView attachment 3289232
6.Kasarani stadium View attachment 3289233
7.Akii bua stqdiumView attachment 32892348.Amani stadiumView attachment 3289236
And others….

… hapo sijamuonea mtu ukweli wa mambo ndio huo. Cc Teargas. Ukitaka we lia tu. 🤣🤣🤣
Huyo kasarani unampaisha bure tuu hamna uwanja hapo
 
Kasarani is now the second most beautiful stadium in East Africa after Amahoro. Talanta ikiisha the rank will be;

Talanta
Amahoro
Kasarani
Nelson Mandela
Hoima
Makwapa
Nyayo
Others
hii list ameipanga nani?? 😂😂😂😂
hya amka ukakojoe sasa utajikojolea kitandania kondooo wewe
 
...wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza
So kwenye hiyo bar, mijitu hawajawahi kusikia timu inaitwa Gor Mahia, the only regional club with a continental trophy?? Wao wanajua tu Yanga na Simba!!

...mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo
So hao wadau 'wadau' wako hawakujua kwamba Kenya Kuna uwanja wenye capacity ya 60k?🤣🤣

...wakauliza mbona uwanja mbaya hivi?

Kijana wa Tandale, uwanja mbaya aka makwapa ipo Dar na ilishapigwa ban na CAF kitambo sana. Hao 'wadau' wako are they even aware of this?

Bongolala, your desperation levels have hit the ceiling
Be updated. Tanzania sio kenya
Screenshot_20250330-192535.png
 
Now this is the list of most beautful stadiums EA.

1. Arusha stadium View attachment 3289227View attachment 3289228
2.Talanta stadium View attachment 3289229
3.Amahoro stadium View attachment 3289230
4.Dodoma stadium View attachment 3289231
5.Mkapa stadiumView attachment 3289232
6.Kasarani stadium View attachment 3289233
7.Akii bua stqdiumView attachment 32892348.Amani stadiumView attachment 3289236
And others….

… hapo sijamuonea mtu ukweli wa mambo ndio huo. Cc Teargas. Ukitaka we lia tu. 🤣🤣🤣
Arusha mini stadium will not even be better than Musinde Muliro Stadium in Bungoma.
 
wivu tu unawasumbua ila azam tv ndio kaamsha mpira wenu wapumbavu nyinyi mulikua mumelala usingizini 😂😂😂😂

tena katika watu munatakiwa kuwashkuru na kuwaombea dua ni azam tv
Imeamsha aje? Ebu tuambie vile Azam imeamsha mpira wa Kenya.

Alafu nobody watches Azam in Kenya, that’s why Kenyans want Azam out.

1743490147342.png
 
hii list ameipanga nani?? 😂😂😂😂
hya amka ukakojoe sasa utajikojolea kitandania kondooo wewe
Nimeipanga mimi. Kasarani is only behind Amahoro Stadium and that’s why mko na maumivu sana.
 
Back
Top Bottom