Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol...even our Kiwanja Ya Mbuzi in Mombasa is more appealing than their empty shell in Dar!

Kiwanja ya Mbuzi...Mombasa
images
View attachment 657573View attachment 657574
Wewe sio kichwa kigumu ni hauna akili kabisa, I pity you
 
Trump alishindwa kutamka Namibia akasema Namimbia ,
You're nothing to Namibia Namibia haijulikani...Kenya ni ujinga tu kama ulikua hujui
the same trump mentioned Kenya in one of his speeches....hehe...Kenya is famous becuase of Barrack Obama, lupita Nyong;o and running....Kuna mtu duniani hamjui Obama kweli?
 
Iraq pia ni maarufu sana lakin Ni masikini wakutupwa. ..mnafhamika kwenye michezo walau mna nn kingine?
Kenya ni kelele tu (debe tupu)
duh! ile hasira unamwaga hapa bro inashangaza...anyway, Merry Christmas...lakini ukubuke hamna tofauti ya Tanzania, Saint Helena na Togo....nchi hata hazijulikani kama ni nchi ama mji ama village....top countries in Africa are Kenya, Egypt, Nigeria, SA, Morocco and Ghana only...wengine ni LDC tu
 
the same trump mentioned Kenya in one of his speeches....hehe...Kenya is famous becuase of Barrack Obama, lupita Nyong;o and running....Kuna mtu duniani hamjui Obama kweli?
Obama yes hakuna kupinga
Kusema Tz haijulikani ni kujichosha tu,No wonders Dunia imeshafaham Mt klm, Serengeti, Ngorongoro crater zpo Tz baada ya kujitangaza vyema na kuacha uzembe mdogomdogo

Asha rose migiro aliwah kua katibu UN
Alituwakilisha vyema
 
duh! ile hasira unamwaga hapa bro inashangaza...anyway, Merry Christmas...lakini ukubuke hamna tofauti ya Tanzania, Saint Helena na Togo....nchi hata hazijulikani kama ni nchi ama mji ama village....top countries in Africa are Kenya, Egypt, Nigeria, SA, Morocco and Ghana only...wengine ni LDC tu
Nitajie top 10 za Africa. ...ukiona kuna nafasi ya kenya tag me plz
 
Obama yes hakuna kupinga
Kusema Tz haijulikani ni kujichosha tu,No wonders Dunia imeshafaham Mt klm, Serengeti, Ngorongoro crater zpo Tz baada ya kujitangaza vyema na kuacha uzembe mdogomdogo

Asha rose migiro aliwah kua katibu UN
Alituwakilisha vyema
😀😀😀😀ni nchi ngapi duniani zina beaches? mountains? craters? 😀😀😀😀😀 kuwa famous na kutambulika ni kuengag kwa michezo kama World Cup, IAAF athletics na Olympics....kuwa na famous celebrities kule Hollywood kama Lupita Nyong'o na kuwa na uchumi wa kuongoza ukanda huu....plus Barrack Obama Senior was a Kenyan...infact the Obama name is a luo name...thats why Kenya is famous....tz haijulikani hata kama ni mji ama ni nchi....wazung huwa wanasema tz ni mji ndani ya Kenya...tz is an insignificant country...najua hutaki kusikia ila ukweli ni huo bro
 
Wewe utakua unazungumzia wazungu wasiopenda kusoma au wasiojua kusoma bra....Africa One nchi 54 unapozungumza Africa huwez iwaza are Kenya kwanza...uiwaze Kenya Kenya mbio?unadhan kila mtu nnainterest na mbio sio[emoji23][emoji23]
 
sio lazma mtu awe na interest na mbio ili kutazama wakenya kwenye runinga za kote duniani wakishinda mbio kwa Olympics bana...we vipi? when a marathon is being held in Berlin or Beijing, the popl from thes cities here about it in the news....and th winnrs are always kenyan....that makes Kenya famous...what abt tz? tz inajulikana kwa lipi? michezo imewashinda, uchumi wenu mdogo LDC, biashara imewashinda, hamna watu wenye talent wanaojulikana kote duniani kama vile Lupita Nyong'o Victor Wanyama...tz ni nchi insignificant kama Togo tu
 
Back
Top Bottom