ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,506
Unamaanisha Nairobi ya hizi basi? Model gani hizi mbochi?
View: https://youtu.be/LXrYuZLPwFA?si=Yv-mVe4fiWXVxW-s
View: https://x.com/StandardKenya/status/1904506123534930237
MY TAKE
Kwani Si tuliambiwa huu uwanja ni 60,000 seats capacity?
CC: Teargass njoo utueleze hapa!
Eti brand new, wakenya bhn🤣🤣🤣🤣🤣Hizi hununuliwa brand new zero mileage sio kama hizo Coaster mitumba munaimport za miaka 20 to 30, alafu munakuja kuziongeza viti bandia ndio zibebe excess.
Mnajiongopea wenyewe, tena mnaongopewa ninyi ambao hampo kwenye hii industry ya aviation, KQ ndiyo ndege #1 pengine Africa nzima kwa kuwa na ma delays na ma cancellation, hiyo profit inapatikana wapi? Shirika limepoteza reputation yake kwa abiria kiasi cha kwamba ni ndege inayoonekana as not reliable plane, faida inatoka wapi? Au ndiyo yale yale ya 3 digit economy alafu mnashindwa hata kujilisha since uhuru?Air Tangangiza aka watu wa ndege za cash will never make profits in their life time.
![]()
![]()
Wakenya bhn, kwa jinsi ulivyoiongelea utadhani hatuzijui, yn umejisahau kabisa kwamba hii thread ipo tangu 2017, hizo buses ni scrap hata kabla ya kutumiwa, no wonder mnajiuzia wenyewe hapo hapo.Those are Isuzu NPR and are bought at zero mileage at Isuzu East Africa Assembly Plant in Nairobi. They are literally introduced to Kenyan roads at 0 years old.
🤣 🤣 🤣 Mtu wa supported by fundamentals, leo tuko March. Welcome to the world's worst performing currency. 🤣🤣🤣This bullish rally is supported by fundamentals unlike yours sanasana around February next year itafanya consolidation na kuendelea na bullish trend.
Watchman punguza emotions, wewe hauko kwa aviation industry. Wewe uko kwa security industry.Mnajiongopea wenyewe, tena mnaongopewa ninyi ambao hampo kwenye hii industry ya aviation, KQ ndiyo ndege #1 pengine Africa nzima kwa kuwa na ma delays na ma cancellation, hiyo profit inapatikana wapi? Shirika limepoteza reputation yake kwa abiria kiasi cha kwamba ni ndege inayoonekana as not reliable plane, faida inatoka wapi? Au ndiyo yale yale ya 3 digit economy alafu mnashindwa hata kujilisha since uhuru?
Nadhani umejionea mwenyewe infrastructure inayoelekea Gongo la Mboto ikoje kwenye hiyo picha.Kumbe gongo la mboto is a real place, i always assumed it was a fairy tale 😂😂😂😂
Baada ya kupewa mkopo na IMF ku-strengthen Ksh sio?🤣 🤣 🤣 Mtu wa supported by fundamentals, leo tuko March. Welcome to the world's worst performing currency. 🤣🤣🤣
![]()
The most free floating currency in EA after Ugandan Shillings.🤣 🤣 🤣 Mtu wa supported by fundamentals, leo tuko March. Welcome to the world's worst performing currency. 🤣🤣🤣
![]()
More than 1 year later bado munalia tu na hii mkopo. It's high time you accept our currency is stable.Baada ya kupewa mkopo na IMF ku-strengthen Ksh sio?
Tangangiza Roho chafu 😅 😅Mnajiongopea wenyewe, tena mnaongopewa ninyi ambao hampo kwenye hii industry ya aviation, KQ ndiyo ndege #1 pengine Africa nzima kwa kuwa na ma delays na ma cancellation, hiyo profit inapatikana wapi? Shirika limepoteza reputation yake kwa abiria kiasi cha kwamba ni ndege inayoonekana as not reliable plane, faida inatoka wapi? Au ndiyo yale yale ya 3 digit economy alafu mnashindwa hata kujilisha since uhuru?
Au sio due to foreign exchange gains through managed KShs.Air Tangangiza aka watu wa ndege za cash will never make profits in their life time.
![]()
![]()
As if it's a bad thing, just like all major forex pairs our currency is free floating, which means it's purely driven by supply and demand. Our central bank can not intervene to prevent volatile fluctuations. Your currency na ya Uganda sio free floating, they are managed float. 🤣 🤣 🤣 Pole sana kama hukujua, nikama BOT has failed to prevent it from kuporomoka.The most free floating currency in EA after Ugandan Shillings.
We'll keep managing it, and that Tangangiza airboda will continue seeing dust, and so will the world's worst performing madafu currency 😅 😅Au sio due to foreign exchange gains due to managed KShs.
Malizaaaaaa mnyonge. 🤣 🤣 🤣