View: https://x.com/StandardKenya/status/1904506123534930237
MY TAKE
Kwani Si tuliambiwa huu uwanja ni 60,000 seats capacity?
CC: Teargass njoo utueleze hapa!
ni Arusha tena. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DHn3GQ8MFaL/?img_index=4&igsh=MWpheng5cWR4Z2FzYQ==. Huu mchongo ukikamilika Arusha itakua imeji position nafasi kubwa mno kwa hapa Africa. Hivyo viji naipori vijipange. 🤣🤣
What do you think?Does that sticker really looks like manufacturer's emblem?
Nani alikuambia?😁...Hamna stadiums.
waziri mchengelwa bado anafanya nn ofsini mpaka sasa hvi? au ndo mkwe tena asiguswe😂😂😂😂😂
View: https://x.com/adventure_36/status/1904530568282349840?s=46
alitoa kauli hio mara ya kwanza hvi juzi ni kama alikuja kupinga kauli yake tuKwani Mchengelwa ndiye alitoa ruhusa ya malori kupita hapo? Hapo Chalamila ndiye anapaswa kuwajibika!
Leta evidence Mchengelwa aliruhusu!alitoa kauli hio mara ya kwanza hvi juzi ni kama alikuja kupinga kauli yake tu
yani hakuna wizara iko mess up kama wizara ya tamisemi, kuna hii mukopo wanapewa vikundi bila riba yani hii ni kama cancer kwa tanzania awamu hii ya mchengelwa kumekua na mambo ya ajabu sijapata kuona, alaf anatoka mbele kujisifia