Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu mitanganyika zinauliza hapa Kila siku eti tuwaoneshe miradi ya maendeleo Kenya wakati miradi za affordable housing across Kenya peke yake are more than double their so-called development projects
Miradi yenu in general ni miradi ya few million dollars, hasa hizi apartments za less than $10M. Huwezi fananisha na miradi yetu mingi ya billions of dollars.

Mpaka sasa mradi wenu mkubwa under construction ni Talanta Stadium ambao ni not more than $250M.
 
Why is the government building beach front properties for the rich?
Hio ni kazi ya private sector.

By the time this ghost-project at Kawe is complete, Nairobi will be a true metropolis, with highrises everywhere you look.

In that Kibra project alone, each of those blocks would be the tallest building in half of all African countries, and there are 72 of them.

If it was teleported in Kigali, it would overshadow everything and become its own CBD.
Acha ufala wewe. Sisi sio nyinyi usilazimishe tufanane mjomba.

Sisi ni communist state bro. Sisi sio mabepari. Mwekezaji mkubwa nchini kwetu kwenye sector ya nyumba ni serikali mwenyewe kupitia mashirika yake kama bile. NHC, Watumishi housing, TBA na NSSF. Majengo yote tunayopost kwa kujidai humu ni mali ya umma.

Yani kila jengo refu bongo ni mali ya serikali. 🤣🤣🤣.

Unasema kawe ni ghost project. .? 🤣🤣 habari za ghost projects tulisahau mzee. Miradi yote hiyo ni sold out. Na sahii tumezindua Samia housing scheme phase 11. 👇🏾
IMG_5631.jpeg
the idea is to make this place a city with the city of Dar.
 
Miradi yenu in general ni miradi ya few million dollars, hasa hizi apartments za less than $10M. Huwezi fananisha na miradi yetu mingi ya billions of dollars.

Mpaka sasa mradi wenu mkubwa under construction ni Talanta Stadium ambao ni not more than $250M.
The affordable housing Project worth more than the value of all projects in Tanzania. Affordable housing is valued at around $5B.
 
Acha ufala wewe. Sisi sio nyinyi usilazimishe tufanane mjomba.

Sisi ni communist state bro. Sisi sio mabepari. Mwekezaji mkubwa nchini kwetu kwenye sector ya nyumba ni serikali mwenyewe kupitia mashirika yake kama bile. NHC, Watumishi housing, TBA na NSSF. Majengo yote tunayopost kwa kujidai humu ni mali ya umma.

Yani kila jengo refu bongo ni mali ya serikali. 🤣🤣🤣.

Unasema kawe ni ghost project. .? 🤣🤣 habari za ghost projects tulisahau mzee. Miradi yote hiyo ni sold out. Na sahii tumezindua Samia housing scheme phase 11. 👇🏾View attachment 3278055the idea is to make this place a city with the city of Dar.
Sold out wapi? Am sure they are all empty.

You can prove to us with information like this

View: https://x.com/keymanifelix/status/1895099185923338382
 
Show us what Dar slum has that can match this.

Affordable housing Kibra Southlands
38 acres
72 Blocks of 17 floors each.
15,000 units, housing probably 40,000+ people.

15% the population of Kibera in one site.

View attachment 3277898

View attachment 3277899

And unlike your Mama Samia "housing scheme" which is constantly facing cancellations and funding challenges for just a handful of projects targeting the high-middle class, Kenya's scheme has so much money we almost don't know what to do with it, storing it instead in treasury bills.
Yeah, it's our hard fought taxes, I know. That's not the point.

Happening in all counties.

Also coming up: Shauri Moyo B Affordable housing.
16 acres
4000 units

View attachment 3277930

View attachment 3277931View attachment 3277932
asante kwa render kutoka kwa kasongo😂
 
Back
Top Bottom