Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivo ndivyo tulivorogwa Africa, but agan, the stadium management has to raise money for maintenance.
Tunasema tunaonekana hatuwatakii mema wachonganishi.

Ikiwa kila kukicha kuna pending events viti atang'oa kweli? Vyoo anaweza ng'oa aanze upya?

Yaani hauwezi fumua chochote na wakija bado unahitaji kurekebisha.

Jamaa waelewe hamna anayewatakia mabaya. Tunaonesha tu sio sawa ukizingatia kuna event kubwa kama CHAN na AFCON si kutafuta aibu muda umefika na hakuna kilichofanyika.
 
We just need to adopt modern protective systems and they are not that expensive it’s just our Lack of will . I have been to a. Music concert in a NFL stadium and i noticed the grassy area was covered in special Mats protecting the grass from feet thumping ( I might have a photo somewhere, will check)… Here in the US , you can attend an NBA game on Saturday and a hockey ( ice) game on Sunday in the same arena . Saturday is wooden floor while Sunday becomes nothing but ice .. ( it’s still a mystery to me how they do it that quick)..I believe in today’s technology, any African country can achieve that . It’s not out of reach .
Wazo zuri sana.

Shida mzee unakuta hiyo technology inawekewa 10%, plus inachanganywa na siasa yaani hatari.

Plus inahitaji pesa kila changes hao wanaweza kwa sababu kila event wanayochange inaingiza pesa ndefu.

Sasa sisi huku Africa gwaride Bureee, kampeni Bureee, Matamasha Bureee, Mikesha Bureeee.

Na Vya bure tunavyopenda nyomi si la kitoto linazidi hadi handling capacity ya uwanja.

Alafu baada ya hapo unasubiri fungu kutoka Serikalini.

Mkapa haikupaswa kua hivyo kwa sababu Simba na yanga wanaacha 15% ya mapato Simba Day, Derby, Yanga Day. Ila kesho upo vile vile

Cheki hiyo bei ya Kuutumia Mkapa, yaani unazuia mkandarasi wa 30billion ili mtu aliyekodi kwa 20m autumie kwanza.

1000045620.jpg

I think kinachohitajika zaidi ni kuwatoa hao wanasiasa kwenye mambo muhimu kama hayo waachie wataalamu na wanaojua wanachokifanywa.

Wafanyie kila kitu maeneo yao.

Kama ni.matamasha wajenge indoor arena, public square kwa magwaride.

Yaani Africa kila event tunawaza viwanjani tu.
 
Kwa upande wangu naona kama tunaenda vizuri tu , hakuna cha kuogopa. A "weak" shilling gives us competitive advantage on our exports. Jambo kama hilo ndio limewabeba sana wachina na most of all Asian Tigers. Muhimu ni Ku control Inflation kisawasawa!! Dollar ibanwe ndani kisawa sawa, iwe kupata dola ni kama kumuona malaika 🤣🤣

Na pia tujitahidi kuwa na energy self sufficiency.....maana mafuta nayo ndo jinamizi aisee...... labda mganda akianza kilichakata yake. All in all naona Tshs haina shida sana, ni mambo madogo madogo tu!!
Mafuta yanaweza punguzwa na CNG hiyo as long as waitilie mkazo wasiweke tamaa waichukulie kama solution ya kupunguza utegemezi wa mafuta we off to go.

Ila wakiiwekea tamaa CNG kama Tozo asee back to square one.

Maaana watu wanaogopa kubadili magari kuwa CNG au kununua CNG vehicle kwa kuhofia baadae serikali ikiwageuka na matozo kibao watalia.

Serikali iwape imani kuwa ni salama kabisa na rahisi kwao.
 
Wazo zuri sana.

Shida mzee unakuta hiyo technology inawekewa 10%, plus inachanganywa na siasa yaani hatari.

Plus inahitaji pesa kila changes hao wanaweza kwa sababu kila event wanayochange inaingiza pesa ndefu.

Sasa sisi huku Africa gwaride Bureee, kampeni Bureee, Matamasha Bureee, Mikesha Bureeee.

Na Vya bure tunavyopenda nyomi si la kitota linazidi hadi.handling capacity ya uwanja.

Alafu baada ya hapo unasubiri fungu kutoka Serikalini.

Mkapa haikupaswa kua hivyo kwa sababu Simba na yanga wanaacha 15% ya mapato Simba Day, Derby, Yanga Day. Ila kesho upo vile vile

Cheki hiyo bei ya Kuutumia Mkapa, yaani unazuia mkandarasi wa 30billion ili mtu aliyekodi kwa 20m autumie kwanza.

View attachment 3277047
I think kinachohitajika zaidi ni kuwatoa hao wanasiasa kwenye mambo muhimu kama hayo waachie wataalamu na wanaojua wanachokifanywa.

Wafanyie kila kitu maeneo yao.

Kama ni.matamasha wajenge indoor arena, public square kwa magwaride.

Yaani Africa kila event tunawaza viwanjani tu.
Kwani uwanja wa nani? Wizara ya Michezo sio? Huwezi kutoa siasa! Zile Kelele za simba na yanga kujenga viwanja vyao zimeishia wapi?
 
Kwani uwanja wa nani? Wizara ya Michezo sio? Huwezi kutoa siasa! Zile Kelele za simba na yanga kujenga viwanja vyao zimeishia wapi?
Nakuelewa mzee. Siasa nazoongelea ni hizi kivyetu vyetu zinazowekwa mbele kuliko hata utaalamu.

Siasa haikosekani kila sehemu ila zinapozidi hadi zisipohitajika ndio inakua shida.

Inamake sense kukodisha 20m kumsubirisha mkandarasi ambaye baadae anaweza kuletea bill nyingine ya 100m+ kisa kulikua na delays muda wa kukamilisha so kuna malipo ya shughuli kuendelea?

Kama wewe unavyoona siasa zilivyo TRC ndivyo tunaona popote. Ili kitu kiwe na manufaa kinatakiwa sababu za manafaa na kinachochochea manufaa kizidi zaidi.

Ikiwa siasa ambazo zinaonyesha hazina manafaa zikizidi sehemu zinapewaje kipaumbele?
 
ni aibu timu za Simba na Yanga kutokuwa na uwanja wa mazoezi! Ni ujinga wanachofanya! Wacheze soka!
 
Back
Top Bottom