Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, Dar Coach only BUILDS bus bodies. It doesn't assemble anything. Even their official website sijaonaa mahali wanasema they assembly anything. Body building and assembling are two different things. Body building hufanyika hadi Nakuru huku Kenya.

Dar Coach does not assemble any chassis. They only dress an already assembled chassis
 
I have tourists from France here in Mbezi Luisi, they ask, don't Kenyans brush their teeth? Why do their mouths stink?
downloadfile-230.jpg

😂😂 huyo tourist kapiga kunyan kwenye mshono
 
Bongolala, Dar Coach only BUILDS bus bodies. It doesn't assemble anything. Even their official website sijaonaa mahali wanasema they assembly anything. Body building and assembling are two different things. Body building hufanyika hadi Nakuru huku Kenya.

Dar Coach does not assemble any chassis. They only dress an already assembled chassis
Everyone knows Kenya is already dead after Mwai Kibaki
 
Kenya tuko na more than one truck assembly plant
1. AVA in Nairobi

2. AutoMart Africa in Thika

3. Another AVA plant in Mombasa
Alafu ulivyoongopa unajisikiaje? Yani wakenya mpo ladhi muongope ili kujipa furaha ya uongo.
1. Hakuna truck iliyotengenezwa at AVA kama ipo weka picha tuone.

2. Thika kuna garage na sio plant
Screenshot_20250316-094558~2.png

3. Hakuna truck inayotengenezwa mombasa kama ipo weka picha tuone.

So, mpaka sasa 3-0 Tanzania ina assemble both trucks and busses, Kenya assembles only debes bus.
 
Wewe unavamia mazungumzo yangu na geza ulole.

Tanzania tulikuwa tunatumia dar coach bus body builder, na mengine kutoka Kenya.

Hio ilikuwa hasa nyuma ya 2010 ambapo wachina ilikuwa bado sana.

Kwa sasa mabasi mengi ni from china kaka wewe nenda mbezi kule kaangalie.

Hapo daaa coach asilimia kubwa sikuhizi hawatengezi body coz hakuna order.
Rudi mazungumzo nyuma.
Nilisema aliye mabasi liliotengezwa na dar coach body builder ambayo lipo active mpk sasa?
Nikaamia kurahisisha alete namba E maana namba E ilianza 2023 November kama sikosema , alete ambayo limesajiliwa na E la dar coach. Ambayo lipo active mpk sasa.

Sasa ukilete ya namba B , A, C sijui D Tena D ya mwanzoni. Ambayo kipindi mchina ajapamba moto.
Mbona Yapo mengi tuu ila most hayapo barabarani
Kwahiyo sasa wewe point yako ni ipi.?
Ndio kenya wanaunda yake matakataka while Tz tunanunua. Kwahiyo ulitaka kusema nini.?
 
hii ni forum ana haki kuchangia!
 
Alafu ulivyoongopa unajisikiaje? Yani wakenya mpo ladhi muongope ili kujipa furaha ya uongo.
1. Hakuna truck iliyotengenezwa at AVA kama ipo weka picha tuone.

2. Thika kuna garage na sio plant
View attachment 3272324

3. Hakuna truck inayotengenezwa mombasa kama ipo weka picha tuone.

So, mpaka sasa 3-0 Tanzania ina assemble both trucks and busses, Kenya assembles only debes bus.
Desperation mixed with ukilaza ni kitu mbaya sana. Kijana wa Tandale, AVA has been producing trucks in Kenya before you were even born (1971), ranging from Scania to Volvo to Fuso to TATA and all that. This is their official website
And this is the assembly plant
images - 2025-03-16T103615.330.jpeg
images - 2025-03-16T104346.214.jpeg

Thika Kuna garage?🤣🤣 Tumbaff! Is Thika and Thika road the same thing? Hii screenshot yako unaona imeandikwa nini? The place I have underlined in red
Dofoto_20250316_102920210.jpg

Soma taarifa hapa bongolala unaniambie ni wapi Thika Road pametajwa hapo

Hakuna truck inayotengenezwa Mombasa? 🤣🤣🤣. Fyi, the Mombasa plant is the biggest. Hakuna haja tuandike kwa mate na wino iko. This is a Google Earth image showing AVA's assembly plant in Mombasa
Dofoto_20250316_110646638.jpg

Sasa kajinyonge watchman
 
Kwahiyo sasa wewe point yako ni ipi.?
Ndio kenya wanaunda yake matakataka while Tz tunanunua. Kwahiyo ulitaka kusema nini.?
Matakataka aambazo mnanunua usiku na mchana 🤣🤣🤣🤣Why Tanzania has ordered Kenyan firm to build BRT buses

Back
Top Bottom