Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,677
Kawaida kwa sasa sisi waTanzania kutetea ujinga ndo tunaona ni uzalendoUtarushiwa matusi ushangae kwa kutokuwa 'mzalendo'
Kawaida kwa sasa sisi waTanzania kutetea ujinga ndo tunaona ni uzalendoUtarushiwa matusi ushangae kwa kutokuwa 'mzalendo'
Hahahahaaa Watchman Nicxie like na hapa basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hata hio assembly ya truck , ni kuunganisha parts sio kwamba Kuna factory hapo hapana.
Parts zinaletwa kwenye box afu zingaunganishwa tuu
Sasa waambie na wao wakuletee trucks wanazo assemble au wakuletee kiwanda kinachojenga gari Kenya, usivamie mjadala mjomba pasipo kuelewa, waambie wakuletee kiwanda cha kujenga gari Kenya nimekaa paleee 👉 👉 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hio ni assembly ipo kibaha pale , tunaingiza parts kutoka faw china , pale wanaunganisha tuu na ni truck sio basi.
Wakenya hamna akili, kitu gn hujaelewa hapo? Yeye kataka basi mm nimeweka trucks, kama tunaweza ku assemble truck tunashindwaje bus, haya na wewe weka truck assembly plant ya Kenya, mana sisi bus assembly plant tunayo na inatengeneza bus quality kuliko madebe yenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Are those buses or trucks? Mwenzako ameitisha assembly plant ya buses, not trucks
Hivi wewe sijui unanielewa.
Wewe ndiyo huelewi, umetaka bus assembled in Tanzania umepewa hutaki unataka namba E, kama hawaja update unataka nikupe kutoka wapi, yani huitaki namba D ambazo ni gari bado mpya unataka niendelee ku debate na wewe 🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wewe sijui unanielewa.
Duuuuuuuuu
Wacha kulazimisha mambo hapa wewe watchman. Jamaa ameitisha assembly plant ya mabasi wewe unatuletea ya trucks kisha unatoa povu. Kama ipo na unajua ipo si ulete hapa tuone! Mbona kelele?Wakenya hamna akili, kitu gn hujaelewa hapo? Yeye kataka basi mm nimeweka trucks, kama tunaweza ku assemble truck tunashindwaje bus, haya na wewe weka truck assembly plant ya Kenya, mana sisi bus assembly plant tunayo na inatengeneza bus quality kuliko madebe yenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupa mtihani mdogo, hebu waombe wakenya wakuletee truck assembly plant nikuoneshe ng'ombe anayetaga 🤣🤣🤣🤣🤣Kawaida kwa sasa sisi waTanzania kutetea ujinga ndo tunaona ni uzalendo
Haya na wewe nioneshe assembly plant ya truck kenya 🤣🤣🤣🤣🤣Wacha kulazimisha mambo hapa wewe watchman. Jamaa ameitisha assembly plant ya mabasi wewe unatuletea ya trucks kisha unatoa povu. Kama ipo na unajua ipo si ulete hapa tuone! Mbona kelele?
Wewe unavamia mazungumzo yangu na geza ulole.Wewe ndiyo huelewi, umetaka bus assembled in Tanzania umepewa hutaki unataka namba E, kama hawaja update unataka nikupe kutoka wapi, yani huitaki namba D ambazo ni gari bado mpya unataka niendelee ku debate na wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Kenya tuko na more than one truck assembly plantSasa waambie na wao wakuletee trucks wanazo assemble au wakuletee kiwanda kinachojenga gari Kenya, usivamie mjadala mjomba pasipo kuelewa, waambie wakuletee kiwanda cha kujenga gari Kenya nimekaa paleee 👉 👉 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
www.simbacorp.com
I have tourists from France here in Mbezi Luisi, they ask, don't Kenyans brush their teeth? Why do their mouths stink?Sorry English Professor ( is there anything you don’t relate to?… yesterday was guns 🤣🤣) anyways, I wasn’t paying attention to such .. just giving your homo homie ( Alaska 007) a heads up where to kick it and blend when he gets here ( apparently he will be here soon, so he claims)… Is he your BF ?.. you don’t have to answer that.. 🤣🤣
Vyuma chakavu unaita bus body. Je kuna mtanzania yeyote anaweza panda kwenye mkweche huo wa kikenya?Lakini pia kuna utofauti wakenya hizo body wanatengeza wenyewe sisi tunanunua nje