Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kwahiyo Tanzania hawatengenezi bus bodies?Lakini pia kuna utofauti wakenya hizo body wanatengeza wenyewe sisi tunanunua nje
Nionyeshe company inayotengeneza bus body ambayo ipo active mpk sasa. Na magari yake Yapo barabarani.Kwahiyo Tanzania hawatengenezi bus bodies?
Geza UloleNionyeshe company inayotengeneza bus body ambayo ipo active mpk sasa. Na magari yake Yapo barabarani.
Nipe mfano wa kampuni Moja ya mabasi ambayo wanatumia basi zao.
There's a day he claimed he's a mathematician!🤣🤣🤣🤣Sorry English Professor ( is there anything you don’t relate to?… yesterday was guns 🤣🤣) anyways, I wasn’t paying attention to such .. just giving your homo homie ( Alaska 007) a heads up where to kick it and blend when he gets here ( apparently he will be here soon, so he claims)… Is he your BF ?.. you don’t have to answer that.. 🤣🤣
Leta tuoneKwahiyo Tanzania hawatengenezi bus bodies?
Mambo ya kawaida tu hayo mjomba, and fyi Tanzania tuna assembly plants zinatengeneza gari za viwango sio hayo madebe ya Kenya.
Hio ni assembly ipo kibaha pale , tunaingiza parts kutoka faw china , pale wanaunganisha tuu na ni truck sio basi.Mambo ya kawaida tu hayo mjomba, and fyi Tanzania tuna assembly plants zinatengeneza gari za viwango sio hayo madebe ya Kenya.View attachment 3272228View attachment 3272229
Utarushiwa matusi ushangae kwa kutokuwa 'mzalendo'Wewe ya mwage hapa tuyaone.
Mimi naona mengi ni ya kichini.
Ila sisi TZ kabla ya wachina mabasi Yao ndo tulikuwa tunanunua Kenya body ndo yalikuwa mazuri.
Kama Yale ya sumry ukiachana na SKS MALAYSIA tulikuwa tunanunua Kenya
Are those buses or trucks? Mwenzako ameitisha assembly plant ya buses, not trucksMambo ya kawaida tu hayo mjomba, and fyi Tanzania tuna assembly plants zinatengeneza gari za viwango sio hayo madebe ya Kenya.View attachment 3272228View attachment 3272229
Wanna be Jack of all trades but a Master of bullsh*tThere's a day he claimed he's a mathematician!🤣🤣🤣🤣
Hata hio assembly ya truck , ni kuunganisha parts sio kwamba Kuna factory hapo hapana.Are those buses or trucks? Mwenzako ameitisha assembly plant ya buses, not trucks