Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujielewi, Kama chini utunge hiyo swali lako vizuri alafu urudi.
Hahahhaaa 😁😂 pain najua uwezi jibu swali langu sheng ni kabila Au jamii alafu tuendelee.
Me sibishani kijinga njoo polepole tena kwa hoja zilizo na tafakuli kwenye kaumu ya watu.

Unatuletea lugha za wavuta bhangi uko kenya njoo polepole brain damage fragile
 
Bongo Unyama bhana. Sahii nimekula zangu Chuma to Arusha, huku naangalia zangu AZAM TV. Kama kawa
IMG_5289.jpeg
IMG_5290.jpeg
 
Huwa hawakubali kushindwa watatafuta tu uongo wowote washindane. 😂😂😂
Jamaa kwa hilo nimewapigia salute 🫡. Wanateteana hao balaa. Hata kama wanajua hicho kitu ni uongo lakini wanakomaa nacho. 🤣🤣 huwa najiulizaga, hivi mliwezaje ku handle watu wa caliber hii since hapo awali.? Seems it was very difficult to win a single discussion.

Mana hata kitu kinaonekana wazi kwa macho pia wanabisha. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom