Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,927
- 103,797
Tajiri akishafika mbwa za humu zote ni ushagoo tu!!!! Labda teargass ndo atabaki mjini na sisi kula bata 🤣🤣🤣
View: https://x.com/selemasaki/status/1897144538575331448?t=YnpjVZyte-nwgP9UxbvyNw&s=19
tuache huu ujinga si kila kitu kutaka kiki! Watanzania hatuna hulka hii! Kama yule anajiita chawa wa mama!