Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isuzu East Africa. Ama ulikuwa unataka ikuwe Yemen Motors Services?
umesema by who??😂😂😂
IMG_4986.jpeg
 
Si umeweka picha? Hau unafikiri ukubwa wa neo hauonekani?
Punguza kuropokwa, unajudge a whole project na picha mmoja.Ndio maana wewe ni fala. The entire project is supposed to have 20 apartments blocks with 10 foors each.
 
Utajuaje yet it’s a word that originated from Kenya? Alafu nimesema Karao and not Karaoke, Karao is a sheng’ word for police.

Karandinga is a sheng word that combines two two sheng words which are Karao and Dinga.
Wapi Kunyaland mmeita hilo gari karandinga? Nioneshe sentence 1 tu ya Mkundustan yenye neno karandinga.

Halafu toka lini sheng ikawa kwenye standard dictionary? Sheng imeanza lini na neno karandinga umeanza kulisikia lini?

20250305_152449.jpg
 
Cheka tuu ila juwa dunia ni mzunguko.
Mzunguko wa nini Sasa hapo? 😂😂

Ni matumizi mabaya ya akili kujenga uwanja wa Ndege huko mashambani badala ya irrigation schemes.

Ndege ziende huko Kwa biashara gani hasa? Kuna Madini? Kuna Utalii? Kuna biashara kubwa?
 
Wapi Kunyaland mmeita hilo gari karandinga? Nioneshe sentence 1 tu ya Mkundustan yenye neno karandinga.

Halafu toka lini sheng ikawa kwenye standard dictionary? Sheng imeanza lini na neno karandinga umeanza kulisikia lini?

View attachment 3259804
Vijamaa vinadhani sisi hatujui historia yetu. Ujinga wao wanadhani wanajua kila kitu kutuzidi. 🤣🤣🤣. Sasa Ndio hadi historia kuhusu lugha yetu.? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom