Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
yenu ndio reality?? haya basi lta picha za SGR tanzania electric trainelectric train nayo ni render😀😀😀😀
ukileta picha za reli nitagWivu unakutafuna bro[emoji23][emoji23] ikikuingia sana niambie nipunguze usije ukachafua mazingira[emoji23][emoji23] Ushaambiwa ndio inajengwa.. Yani wale ma constructor wanajuta kuja kufanya kazi Tz[emoji23][emoji23] kila saa waziri yuko nyuma kazi masaa 24 wanafanya kwa shift
nimekwambia ujenzi unajengwa😀😀😀😀 kila siku tunapost hapa picha za ujenzipicha zikwapi?
haya wakati una smile nipe picha za reli ya umeme angalau nismil pia😀😀😀😀😀 never mm always lazma ni smile
rudia...haitakua mara yako ya kwanza kurudia picha so plase do th necessary bronimekwambia ujenzi unajengwa😀😀😀😀 kila siku tunapost hapa picha za ujenzi
stalledKumbe hukutibu bado kichaa chako eeh[emoji23][emoji23] haya soma hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
tumeanza ujenzi just april 2017 nyie mumejenga msukule huo 3.5 yrs so tulia mambo yako jikoni😀😀yenu ndio reality?? haya basi lta picha za SGR tanzania electric trainukileta nitag bro
picha zikiwasili unitagtumeanza ujenzi just april 2017 nyie mumejenga msukule huo 3.5 yrs so tulia mambo yako jikoni😀😀
utalii wa mitungi ya chang'aa?Utalii dogo ondoa ushamba njoo ujifunze.
Staki nikushoshe wala usinichoshe.. Mambo yakiiva ntakuletea mezani uungue na Roho yako[emoji23]stalled