NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,314
- 19,674
I repeat, do you understand the meaning of best performing?Imagine pamoja na Ethiopia kuwa ndio continental aviation hub Africa lakini tumewapita number of international receipts, Kunyaland inayohesabu kila abiria alieboard KQ ni Kunyaland tourist no matter his/her destination ndio wanasema wametupita kwenye tourism 😂😂😂 Yaani serikali yao as long as umeboard KQ wanakuingiza kwenye list hata kama unatoka New York to Nigeria ila tu mlipita naislum kuconnect wewe ni tourist in Kunyaland 😂😂😂 na wanakusebu kama ulitumia unstoppable leaking terminals zao hata kama hukushuka kwenye ndege 😅
View attachment 3257284
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1090175346626965504?t=aJTp7LvjD3ebLIiYHeRp-Q&s=19
Kule Arusha Makonda analumbana na Gambo kuhusu kinyang’anyiro cha Ubunge wa Arusha! Yaani kashapata tamaa ya kugombea jimbo la Arusha mjini kisa kaoa huko! Hamna sehemu inahitaji bus terminal ya maana kama Arusha haswa ukizingatia events zinazokuja kama Afcon 2027! Pia kuendane na upanuzi wa barabara Usa River mpaka KIA na kuweka taa Arusha airport ndege zitue 24 hours!
Mimi nikiwa mdogo nilikua napendeza na code nazijua than wewe ukiwa hivyo ulivyo now.Just post picha yako tuone …oh never mind… nimeiona tayari ..🤣🤣🤣
Hata WB don't understand them, ni wheelbarrow party zombies tu aka kasongo comic Orchestra 😂😂😂Do you even understand what those charts are about?
Watu wamejenga TAKATAKA tupu.watu wamejenga tegeta 🙌🏻🙌🏻
View attachment 3256033
What a statement!!🤣🤣🤣Ukiyaita haya majitu ni malezi beyond repair yanachukia less than 3 million diaspora yanafanya kazi kuzidi more than 60 million Kunyalanders in the country 😂😂😂😂
View: https://x.com/DanielN27632792/status/1896185001525526837?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1896185001525526837%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
2 million diaspora in Arab countries working ass off compared to 60 million zombies under kasongo dictatorship and conmanship is nothing comparable 😂😂😂What a statement!!🤣🤣🤣
Kwa hivyo hao wanaofanya kazi nje ya kuleta hela nyumbani ni watanzania? How can you be lazy in one hand and at the same time you work extra hard abroad to lead your country's foreign exchange figures?
sasa kama Tanzania in 2019 tulipata $2.6 bln do ur maths to know how much did Tanzania get in 2023!Do you even understand what those charts are about?
Yes we buy meat from different parts of the world including you ,eti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? 😂😂
so ulitaka waingize mufugo yao kwenye hifadhi za taifa kwan sheria ya hifadhi inasemaje?? yeye alitala sheria ifuatwe ukiingiza mifugo kwenye hifadhi unataifishwa ndivo sheria inasema full stop😂😂😂😂
sio kilimo pekee mpaka mageuzi yaliofanyika kwenye uvuvi na ufugaji leo hii tuanshangilia kuuza nyama oman na nchi za kiarabu bila zile modern slaughter za kimataifa kujengwa unafkiri tungepewa tender ya kuuza nyama nje ya nchi hii??😂😂 na alikua anatuambia tunaongoza kwa ng'ombe africa sijui tuko number mbili
Kila takwimu lazima tuwanyee Wakunya 👇 👇Yes we buy meat from different parts of the world including you ,
The best meat comes from new Zealand this the result of how they raise their cattle and sheep
Raise your standard you will have better price
Badala ya kila mara waarabu waarabu ,
watasema za Tanzania ni ng'ombe zao zinafugwa na Watanzania on their behalf!Kila takwimu lazima tuwanyee Wakunya 👇 👇
View: https://x.com/GaetanNZ/status/1896460422238396718?t=L_Qa_rBA2yIPAacLaY6d6w&s=19