Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe na nani ambao mlipewa kazi ya kusema huu ni mkataba mzuri au mbaya? 😁😁

Hii ni bei kubwa au ndogo? 😁😁

Acha ujinga
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
 
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
Ovyo ovyo ndio inakuaje?

Mlielezewa na nani na Sasa hivi mnaelezewa na nani?
 
Ndio kwani hujasoma kwamba Serikali ya mama imepata Mkopo wa $ 2.5bln na from hiyo hela kuna arena.

By the way yule mtu wenu alithubutu hata kutenga? πŸ˜‚πŸ˜‚
from 54trillion to 100 trillion in 3 yrs na hakuna kitu chochote so farπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

uwanja wa mpira arusha unajengwa kwa 320b of 30k seats alaf arena inajengwa kwa 450b of 15k seats tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana siku hzi traffic kuchukua rushwa hadharani ni jambo la kawaida hawana hata wasiwasi kabisa
 
Ulitaka vijengwe Kwa bei gani?

Pili 2015-2021 Kuna kipi ambacho Mwendazake alifanya? Be it Kwa Mkopo or domestic revenues?

Mwisho as norm hakuna aloyewahi weka hii rekodi before πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGr_pwUIoWb/?igsh=MWhrYzJpOTBndGU1Mg==
 
Ila ile perfomance ya Bien kwenye Trace Awards imewauma kweli. Yani kila baada ya post tano mnarudi hapo hapo kulinganisha perfamance za Vumbistan vs Kenya. Your cries are being loudly. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mbona Bien kapewa maua yake! Soma comments za hiyo clip ya Youtube uone watu wanavyoponda audio quality! Kuna mtu humu ndani alikuwa anabishia Chris Brown kukataa ku-perform Ukunyani! Mkabisha!

Angalia audio quality ya hii

View: https://youtu.be/TGwsFyeyzbk?si=NDDa5OyXnZmHrylm
Halafu linganisha na hii

View: https://youtu.be/sOTUuxuIwCo?si=OwrqaWGoqasz6u8E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…