Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahaha picha zikwapi broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€si ni wale waturuki wanatafta routs msituni au?πŸ˜€πŸ˜€
safari hii ni pua kwa pua hatoki mtuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
modern electric train, second fastest train in africa
 
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya Tandale Rwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili pole bro ur SGr is a whit lphant
Museveni anawapooza tu baada ya kuwanyima mafuta[emoji23][emoji23] hata ivyo SGR yetu pia inafika UGANDA
 
Yani Rwanda waache speed 160 wachukue 120[emoji23][emoji23] train inaondoka Leo inafika mwez ujao.. Ya mizigo achukue speed 80 aache 120[emoji23][emoji23] out of your mind
Kenya railway to be electric in 4 years...pole bro
 
Lewa Marathon,Nanyuki,Kenya (Since 2000)

Fancy running wild for conservation in Kenya's wild savanna with the animals? If yes,then Lewa Marathon is for you!

Kenya railway to be electric in 4 years...pole bro
[emoji23][emoji23][emoji23]Nita Tuta.... Hujui hiyo upgrading ita cost zaidi ya billion 100 zaidi ? Wakati hii iliyopo deni lake halijulikani litaishia wapi huenda 2025 Kenya ikawa imeshauzwa kwa wachina[emoji23][emoji23]..
 
we dont have enough power for now by 2020 itakua...nyinyi mnajenga electric na poewer yenu ya 800 mw
 
museven hua anawapa moyo alaf anakuja kuwachinjia baharini kwani oil pipeline ilikuaje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wanapenda kujipa moyo sana[emoji23][emoji23] Yani kipindi hiki tunawatafuna sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nita Tuta.... Hujui hiyo upgrading ita cost zaidi ya billion 100 zaidi ? Wakati hii iliyopo deni lake halijulikani litaishia wapi huenda 2025 Kenya ikawa imeshauzwa kwa wachina[emoji23][emoji23]..
kwani si reli yenu pia kwa sasa inategemea mambo ya tuta tuta tuta...ama ukona picha? tutajenga reli mpaka rwanda tutajenga reli ya stima...kumbe waturuki wanapambana na vumbi msituni our SGR has reached Nairobi and in 1 year it will b in Naivasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…