much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?Nilikua nataka uliza.
Hawa mafala ukiwaambia wanatembelea miradi ya mzee wanang'aka.
Jangwani bridge wamefungua Kimya hakuna kitu.
BRT walisema February ziantua hamna kitu.
Kuna Barabara ya Nyumbani Nyamongo ya Tarime-Mugumu hamna kitu.
Now ni fungua telekeza fungua telekeza kama Ukunyani na stalled projects za jiwe la msingi.
Pia Project nyingi zinasua sua sana kuanzia BRT
Yaani hakuna focus tena ni kurukia kila kitu. Now Pangani wakati ni muda ipo utekelezaji tu.
Siasa awamu hii zimezidi Ongeza machawa waliofunguliwa Booster ndio basi tena.