Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani miaka 10 tu mumeanza kilia hvi je ingekua 20yrs ingekuaje, tulikua tunasubiri tusomeshe vizazi vyetu viwe na elimu kwanza ndio tuanza kutumia rasimali
2o years kenya itakua imelala sio? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
2o years kenya itakua imelala sio? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sio kulala mumeishiwa mbinu za maendeleo na resources hamuna tena zaidi mulikua munategemea sana tourism sasa mushabwagwa chini na tanzania kwenye sector hio
 
hamuiwezi tanzania kwa namna yoyote na ndio maana hata oil pipeline from uganda tumechukua kwa akili sio kwa porojoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Oil pipeline ilikua kwasababu ya Alshabaab....Lamu wako karibu sana na Somalia...reli msahau ndugu....yaani toka Kenya mpaka Congo, Rwanda, South Sudan, Ethiopia, Uganda na Burundi
 
sio kulala mumeishiwa mbinu za maendeleo na resources hamuna tena zaidi mulikua munategemea sana tourism sasa mushabwagwa chini na tanzania kwenye sector hio
Pwahahahaha Pinnacle, Montave, doubl dckr highway, Light rail SGr Lamu Port LAPSETT....naona tumeishiwa kweli broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Oil pipeline ilikua kwasababu ya Alshabaab....Lamu wako karibu sana na Somalia...reli msahau ndugu....yaani toka Kenya mpaka Congo, Rwanda, South Sudan, Ethiopia, Uganda na Burundi
eti alshabab yakwenu mpaka sasa hvi mumekosa funds za kujenga pipeline badala yake munasomba crude oil na magariπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pwahahahaha Pinnacle, Montave, doubl dckr highway, Light rail SGr Lamu Port LAPSETT....naona tumeishiwa kweli broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
wow renders i love renders broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nikiskia renders moyo wangu unafurahi sanaπŸ˜›πŸ˜›
 
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya Tandale Rwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili pole bro ur SGr is a whit lphant
Yani Rwanda waache speed 160 wachukue 120[emoji23][emoji23] train inaondoka Leo inafika mwez ujao.. Ya mizigo achukue speed 80 aache 120[emoji23][emoji23] out of your mind
 
remb tunajenga two phase kwa mpigo 3.16b from dar to dodoma 722 kmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pwahahaha picha zikwapi broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€si ni wale waturuki wanatafta routs msituni au?πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…