AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,286
- 3,206
Oloitokitok ya Tanzania ama?🤣🤣
Utajua wewe ni ya kajiado au Bongo
Hapo bado sijaongelea mashamba ya taita taveta na jamii gani ina dominance kwenye retails business kule....
Oloitokitok ya Tanzania ama?🤣🤣
But huyo jamaa yuko realAlafu haya maneno yao ya kujifanya wanasifia Tz kinafki yataisha muda c mrefu, unajua ujinga wa wakenya upo wapi? Kwenye paper GDP, sasa yalivyo majinga takwimu mpya zikishatoka na Tz GDP ikishawekwa ile ya ukweli $150B hutawasikia wakiongea hv, wataanza kuuwana mwishowe watazoea watatulia, na hapo ndipo Kenya litakuwa koloni rasmi la Tanzania.
Kwani kuna Oloikitokitok ya Tanzania? Mimi nafahamu tu kuna Nairobi Arusha inaitwa Engare Nairobi na pia Kenya kuna Ongata Rongai wakati Tanzania kuna Rongai ukiacha Rombo ya Tanzania na Rombo ya Umasaini huko Watanzania wanamiliki mashamba! Pia Mara Tanzania na Masai Mara Kenya!Utajua wewe ni ya kajiado au Bongo
Hapo bado sijaongelea mashamba ya taita taveta na jamii gani ina dominance kwenye retails business kule....
I think you got yourself mixed up between Kikuyus and Wachaga … they share similar linguistic and culture..but no way Chaga people are farming in Kenya… leta picha tuone …Vice versa is true..
Kule Oloitokitok mashamba makubwa ya mahindi na Maharage ni ya wachaga. Wamesai wameachia hawajui mkulima... Wengine Wanalima hadi Rongai viazi vingi tu. Kuna wengine wame extend hadi kitale Wanalima mahindi ya kutosha.
Atajibu na picha ya Kibera …🤣🤣🤣
Bravo!… Salute to your remarkable achievement! ..🤩
Old man, don't forget to share this tweet too now that you have decided tweets are your gospel source of information.
View: https://x.com/allan_muriuki/status/1892330168925970928?t=iBaGVU5vpYv8pjBuP89jxA&s=19
Matumizi yake ni nn sasa, hv umeelewa nilichouliza?👇👇It's called a bollard. You are such a thickhead, no wonder wewe ni watchman.
Sasa kama hujui ni nini, matumizi ndio utaelewa. Google the word bollard, matumizi yake imeandikwa hapo.Matumizi yake ni nn sasa, hv umeelewa nilichouliza?👇👇
View attachment 3243655
Kwa nini usimwambie babu yako nae aje Ku lease Ardhi alime. Ku lease kuna shida gani kwani?? Mbona kuna watu wakila aina wanalima Tanzania au unafikiri wakenya ndo special?? Kundu lako!!!I think I posted here before, I know a family from Nyandarua that leases hundreds of acres in central Tanzania for farming… but they always use a Tanzanian citizen subsidiary for political reasons. Their kids reside in Kansas , US and we sometimes talk . I will have them send me latest photos of their investment… the surprise thing they told me is there are many Kenyans doing the same in Tanzania… Kenya runs Tanzania large scale farming….. now watch Bongolala heads explode!..😂