Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeelewa habari kwanza, zile project za adani anapewa mchina kama vile JKIA heheh safari hii mpaka polisi watakua wachina ili wawacharaze vzr mbwa nyinyi
Nenda shule ukajifunze Kusoma wewe Yemeni refugee. Article imeandikwa “Adani like”, Do you know what that Adani like means?
 
Westlands

1740056824337.jpeg
 
Nafurahi kuwa siku hiz watz wanafunguka na wanajuw kinachoendelea.
Soma hizo comments.
Hawana uelewa wowote wanaropoka tuu.

Wananchi waajulia wapi calculation zaidi ya kuona Kwa macho? Wanajua activities kweli zinazohusika?

Wasubirie reli waache ujanja ujanja
 
nilitegemea kiwe 100% toka mwaka 2024 lakini aibu naona mm, tumekalia uchawa na kusifiana upuuzi tu wakat miradi inasuasua na mabilioni ya pesa yamekopwa kuliko marais wote waliopita kwenyw nchi hii😂
Wacha kuwika furahia hata huo mradi kufika 63% kuna watu dude limegota!
 
Wacha kuwika furahia hata huo mradi kufika 63% kuna watu dude limegota!
tusiwatazame wao ila tujitazame sisi kama wao wametumbukia shimoni haina haja sisi tuanguke mzee😂😂😂😂

tutazame nchi zilizopiga hatua kwann wao waliweza na kwann sisi tunasuasua na masifa kibao ya uchawa na kusifiana ujinga tu
 
Mtu anakaa Tandale atajuaje.
I think I posted here before, I know a family from Nyandarua that leases hundreds of acres in central Tanzania for farming… but they always use a Tanzanian citizen subsidiary for political reasons. Their kids reside in Kansas , US and we sometimes talk . I will have them send me latest photos of their investment… the surprise thing they told me is there are many Kenyans doing the same in Tanzania… Kenya runs Tanzania large scale farming….. now watch Bongolala heads explode!..😂
 
Back
Top Bottom