babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Unamsikiliza huyo mwehu, hivi hamjawahi kunotice ana ndugu kila pembe ya dunia! Ikija ishu yoyote lazima aaandike sijui “kuna ndugu yangu kuna rariki yake” bla bla kibao “kijijini kwetu” ana ndugu na marafiki kila sekta duniani.Kwa nini usimwambie babu yako nae aje Ku lease Ardhi alime. Ku lease kuna shida gani kwani?? Mbona kuna watu wakila aina wanalima Tanzania au unafikiri wakenya ndo special?? Kundu lako!!!
😂😂
Ana ule ushamba wa kutaka kuonekana ana ndugu kila kona ndio maana anatumia nguvu nyingi kudanganya.