Ndio nasemaga EAC kuna ujinga mwingi.
Msimamo wangu ulikua ule ule Kufunga mipaka ya Rwanda na Uganda kijeshi hadi waasi wapotee alafu wakipotea.
Fukuza wote wanaojifanya Wanyarwanda na waganda nchi yao.
Yaani mtu anajiita Mnyarwanda nchi yako huku anataka awe sehemu ya nchi kama si ukichaa. Aende nchi anayojinatibisha nayo.
Kwamba Mrwanda aseme yeye anahaki ya kua Tanzania il Kama Mrwanda na Si mtanzania.
Ni kutimua wote.
Tatzo watu wa ukanda huo uwa ni wabaguzi vichwa vyao vimejaa vita me nasema damu ya mtu aimwachi mtu salama pia dhambi ya kubagua binadamu mwenzako aitokuacha salama.
Pia kujiona wewe unastahili kuliko wengine nmeangalia na kuchunguza izo accounts za hao watu alio tupia geza ni watu ambao wanajiona ni special sana.
Ukipika vita ipo siku moja na wewe utakunywa vita ni suala la muda tu.
Nilisha wai kusema hapa EAC ni ya wanafiki wanafiki sana just imagine mwanachama anamshambulia mwanachama mwenzie alafu viongozi wamekaa kimya tu.
Kwa Tanzania 🇹🇿 haya makundi yakibainika ni kuteketeza akuna kubaki ata mmoja ila nachokiona kwa Congo wanahurumia waasi.
1.kikundi cha mapango ya ambano
2.wale wadau wa kibiti
3.maharamia wa Mtwara.
Watu kama Hawa ni kuwapelekea moto usilete room ya mazungumzo na waasi mbona walikimbia na hawapo.
Very sad 😞 kwa Congo people wenyewe ni kukimbia tu.
Ningekua rais wao yaan akuna mwanaume kukimbia adi kieleweke
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
JWT ni jeshi imara vivaa Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿