Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂 pole sana dreams are valid lakini hapa mmejigamba excess 😂😂😂
back to reality hii hapa, Let’s goo!!View attachment 3239921
Hiyo ni Kenya ingia hiyo link uone!
 
Sehemu kubwa ya Dar haijaoneshwa humu, ndiyo mana wakenya wenzio wakija wanapigwa butwaa, ofcz Tanzania kwenye suala la marketing and branding bado sn, imagine nyie mshamaliza picha zote za Nairobi lkn sisi hatujafika hata 50% ya Dar.
I asked you a very simple question watchman. Show/tell me any part of Dar that has never been posted on this thread. Maelezo miingi ya nini?
 
Back
Top Bottom