President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,763
- 89,785
Hapa unataka kusema kitu gani mdogo wangu nikusaidie? Maana naona picha zipo poa sana. Je unaona namna Tanzania inavyotunza mazingira kupambana na Climate Change?
Hapa unataka kusema kitu gani mdogo wangu nikusaidie? Maana naona picha zipo poa sana. Je unaona namna Tanzania inavyotunza mazingira kupambana na Climate Change?
Tangu lini mkakubali mabaya yenu? Wewe si mtanganyika wa kwanza kukana picha za Dar kwenye huu uzi na hautakuwa wa mwishopicha za kuengeneza hilo eneo la kwenye picha ni Kinondoni na haina slum hivyo!
Fuatilia thread uelewe tunatoka wapi na tunaenda wapi.Hapa unataka kusema kitu gani mdogo wangu nikusaidie? Maana naona picha zipo poa sana. Je unaona namna Tanzania inavyotunza mazingira kupambana na Climate Change?
Sioni unakoenda, maana unatuwekea picha za 2009. Today is 2025 more than 16 years.Fuatilia thread uelewe tunatoka wapi na tunaenda wapi.
Of course mnajua kutunza mazingira sana as we can all seeView attachment 3241723View attachment 3241724View attachment 3241727View attachment 3241731
Off course Google earth pia ni ya 16 years ago.Sioni unakoenda, maana unatuwekea picha za 2009. Today is 2025 more than 16 years.