statistics by who mama ngina?? kila siku munakaa kudanganywa na bahati nzuri siku hzi wenyewe munamuita kasongo ni muongo ๐๐๐๐But all the statistics from Kenya and Tanzania says that Tanzania imports more from Kenya than Kenya imports from Tanzania?
Hao wakenya unaweza wataja? Acha ujinga.Bro, many Kenyans lease land in Tanzania and grow crops. Huwa mnajifanya ni kama Tanzania Iko mbinguni vile yet mmelease Hadi National Parks zenu kwa Waarabu wafanye uwindaji na pia Ports zenu zote mmelease.๐ฎ๐ฎ
Sawa.Hao wakenya unaweza wataja? Acha ujinga.
Tumelease national parks?
Mbona kila siku ukishikwa unakimbilia mifano isiyoeleweka.
Ports na kilimo wapi na wapi, so uklease gati moja ya port ndio ifanye wewe kuhisi wakenya wamekua leased na ardhi ya kulima matani kiasi kwamba wanajaza maroli yote ya Kenya 300k Tons?
Ufala mwingine tatizo.
Haya basi tuambie Wakenya hao walio kuwa leased na Serikali ardhi inayoweza produce 300k Tons of Maizes kwa Wakenya. 600k Tons of Maize to Zambia, 100k tons to WFP.
500k Tons of Maize to DRC.
I WOULD LIKE TO KNOW HAO WAKENYA WANAOPRODUCE PIA 11 MILLION TONES OF MAIZE hapa Tanzania.
"Mzee wa Watanzania wanaojifanya Wakenya"
Better ushut up sio kuleta ujuaji kila sehemu.Sawa.
Chochote kizuri kuhusu Tanzania lazima wajihusishe wakumbafu hawa. ๐๐๐Hao wakenya unaweza wataja? Acha ujinga.
Tumelease national parks?
Mbona kila siku ukishikwa unakimbilia mifano isiyoeleweka.
Ports na kilimo wapi na wapi, so uklease gati moja ya port ndio ifanye wewe kuhisi wakenya wamekua leased na ardhi ya kulima matani kiasi kwamba wanajaza maroli yote ya Kenya 300k Tons?
Ufala mwingine tatizo.
Haya basi tuambie Wakenya hao walio kuwa leased na Serikali ardhi inayoweza produce 300k Tons of Maizes kwa Wakenya. 600k Tons of Maize to Zambia, 100k tons to WFP.
500k Tons of Maize to DRC.
I WOULD LIKE TO KNOW HAO WAKENYA WANAOPRODUCE PIA 11 MILLION TONES OF MAIZE hapa Tanzania.
"Mzee wa Watanzania wanaojifanya Wakenya"
Nimesema sawa juu Sina nguvu ya kubishana na mwendawazimu. It's called sarcasm sir. Peace.๐๐พBetter ushut up sio kuleta ujuaji kila sehemu.
Next time sitashangaa mkisema Kibera imejengwa na Watanzania.
For sharing your government statistics?You must be super stupid!
Thank you for history class
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1862550485955137588?t=pqfWmN5Pqa-CHqlU8j95PQ&s=19
Chochote kizuri kuhusu Tanzania lazima wajihusishe wakumbafu hawa. ๐๐๐
Statistics za 2022 za mwaka hizi hapa, ndio the rain started beating you harder
View: https://x.com/aziz_mire/status/1669741379147251712?t=MuoOdz-nH0H-rzTIoDYsEA&s=19
Najua hampendi ukweli, knowing him will make Tanzania and Dar to be better than Ethiopia and Addis Ababa? Just accept that Tanzania is not as developed as you may wish it to be, a tu you are overhyping Tanzania a lot.But he lives in Tanzania na wala hafikirii kuondoka. I know him..ameishi Tanzania toka 2010 huko na hana hata mpango wa kusepa.
Ukiona mtu anaponda sehemu anayoishi na ujue anataka kuwe better zaidi.kitu ambacho hata sisi tunafanya hapa.
Barabara za vumbi kila mahali, lami iliwakosea nini huko Tanzania?
Umeanza kuongea kama mwanamke sasa.Bro, many Kenyans lease land in Tanzania and grow crops. Huwa mnajifanya ni kama Tanzania Iko mbinguni vile yet mmelease Hadi National Parks zenu kwa Waarabu wafanye uwindaji na pia Ports zenu zote mmelease.๐ฎ๐ฎ
Are buses development? Importing fake buses from China ndio unaita development?Aonyeshe mabasi na Taxis za Ethiopia! Kurekodi areas za hotels tu tena za AU City hazi-reflect the whole of Addis-Ababa ambayo kuna areas foreigners hawaruhusiwi kwenda!
Actually Addis Ababa is far better than Dar in every aspect.Angekuwa ameilinganisha na Nairobi hungesema anarekodi area za hotels tu.
The ignore icon is not too hard to find.Umeanza kuongea kama mwanamke sasa.
Wew ni wa kupuuzwa tu.