Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749
Mitandao ina upotoshaji mwingi, verify kwanza kuwa picha ni ya lini kabla ya kumshambulia.
 
ndio wanashtuka leo kumbe 😂😂😂😂

View: https://x.com/millardayo/status/1890370053603721608?s=46

Ivi watumishi huwaga wanapewa target kweli?

Kingine unaweza kuta tunawaonea bure sababu unakuta mtumishi akijaribu kufanya kazi watu wanaletea siasa maeneo yao ya kazi wanaamua kuacha wasubiri maelekezo.

Siasa zipunguzwe kwenye utendaji, zaidi ya siasa zibaki kuomba matokeo.

Mfano mzuri, KITENGO CHA TANROAD cha hifadhi ya Barabara Watumishi tuseme Dar watafanya kazi gani maana wakiamua kila vijiwe vya Bodaboda, Machinga, bajaji watoke hifadhi ya Barabara utasikia siasa zinaingia waachwe waachwe licha ya Sheria kukataza.

Mzee sikumkubali kwa hili la Wamachinga
 
Back
Top Bottom