COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Ata kama ni 20000 km sqr..GDP ni 9 b nai ni 40b1590.5 km sq😀😀😀😀😀😀😀 yani kusanya nairobi kisumu na mombasa na chenchi inabaki
Ata kama ni 20000 km sqr..GDP ni 9 b nai ni 40b1590.5 km sq😀😀😀😀😀😀😀 yani kusanya nairobi kisumu na mombasa na chenchi inabaki
Povu la mwendawasimu mkinya.Mimi najua wewe ni Mwendawasimu.... That's why I can throw words left, right and centre..... Mad men like you deserve it....
Povu la mwendawasimu mkinya.
With super slum in the world.Ata kama ni 20000 km sqr..GDP ni 9 b nai ni 40b
Baba yako angetumia condom Tanzania ingekwepa ujinga wapoWith super slum in the world.
Hata hajui ale nini,labda maua.Vipi umekula lakini? Au upo Uhuru park WIFI ya bure.
Nishasoma ila swali je ulishawahi kupanda mpaka kukufikisha...direct mwisho wa ruti..?Imeandikwa vizuri ARRIVALS then then the city, si usome pahali zimetoka.
Write in English.Nishasoma ila swali je ulishawahi kupanda mpaka kukufikisha...direct mwisho wa ruti..?
Nakingine si nairobi yote kama ina barabara pana....sehemu zenye barabara pana ni chache tena ni zile mpya mpya...ambazo hazina hata miaka saba au 5...kama sikosei.....ni sehemu chache tu zenye barabara panalabda nikwambie kitu dar city roads ni nyingi kwa km kulinganisha na nairobi tofaut iliopo barabara za nairobi ni pana kwa sasa ukilinganisha na dar, ila dar ndio wameanza kupanua barabara nyingi sana na kuweka BRT kulingana na phase husika
uchumi wa dar ni kuwa dar is the second fastest city in development in the world, shida yenu iliopo ondoeni ile fikra ya dar of 90s ndio utanielewa
Haujui NairobiNakingine si nairobi yote kama ina barabara pana....sehemu zenye barabara pana ni chache tena ni zile mpya mpya...ambazo hazina hata miaka saba au 5...kama sikosei.....ni sehemu chache tu zenye barabara pana
With super slum in the world.
Sijui english labda twende na kichina kidogo....Write in English.
Kwasababu sijawahi kufika sawa........ila kama nimewahi kufika.....nipo sawaHaujui Nairobi
niletee link inayosema dar is 9 gdp😀😀😀😀😀 na nai is 40b nasubiriaAta kama ni 20000 km sqr..GDP ni 9 b nai ni 40b