Huwez kulinganisha mwanza na kisumuMwanza mwanza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
basi annael inatosha...utaua watu kwa mshtuko wa moyo(heart attack).Mwanza mwanza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

roho mbaya,chuki na wivu.Sijui kwanini wakenya hawapendi kabisa vitu vya Tanzania.

Roho mbaya tuuu...majitu yanaroho ka za fisi kaaaa na badoSijui kwanini wakenya hawapendi kabisa vitu vya Tanzania.
mdau,UBT itakavyokuwa![]()
Hakuna kitu inauma kama kupitwa na basi mliiacha stendi ikiwa haina mtu ndani.Roho mbaya tuuu...majitu yanaroho ka za fisi kaaaa na bado
Ubungo Stand Dar es salaam
Apo ndo wajue DSM hatuchekicheki ovyoUmbali huu hapa
View attachment 655604
Duh,Noma sana mkuu, Mbavu zangu nazitupa 😀😀😀😀😀Hakuna kitu inauma kama kupitwa na basi mliiacha stendi ikiwa haina mtu ndani.
hii swahili metaphor sidhani kama wameelewa maana yake....iko deep sana.Hakuna kitu inauma kama kupitwa na basi mliiacha stendi ikiwa haina mtu ndani.

hii swahili metaphor sidhani kama wameelewa maana yake....iko deep sana.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hamna watu mule,mimi si nawajua.