The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Unaambiwa kuna rushwa hapo sio mchezo, yn Bole kuna afadhali mana Bole ni wizi, ila hapo ni wizi plus rushwa. Uwanja hauna hata arrival area, conveyor belt zishakufa, mizigo ya abiria inabebwa na punda, Kenya bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio JKiA munadanganywa humu ndani ni modern? 😂😂😂😂
yani hata nyegezi bus terminal ni ultra modern kuliko huu utumbo
View attachment 3223533