Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wajinga mbona wamepigwa? Ukiangalia uwanja wa Arusha ni mkubwa na mzuri wenye upekee tofauti na huu wao umekaa ki Africa zaidi, sijajua kwann waafrica tunapenda hii design ya Amahoro. Viwanja vingi vya Africa vinafanana, hakuna ubunifu kabisa. Pia huu uwanja ni mdogo kuliko wa Arusha lkn unajengwa kwa cost kubwa kuliko wa Arusha, wamepigwa au labda waanze visababu vya ardhi, milima sijui nn nn mradi kuhalalisha upigaji.
 
Nielewavyo Mimi juu ya hili katazo la kupiga picha na video ni kwa wale wanaokuja kufanya video shooting kama harusi,music nk na picha za aina hizo ambazo zinapelekea kusababisha jam barabarani.

Ila kwa picha za kawaida mtu yeyote anaweza kupiga na kusepa bila tatizo lolote.

But, I stand to be corrected.
 
We jamaa simu yako haijawahi kuwa na chaji, kwnn? We utakuwa mnusa gundi tu wallahi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
That's from the internet kijana wa Tandale. Unaona Makwapa ilivyozingirwa na uswazi aka dream houses?
 
English ya wakenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hii unayotuonesha ni sehemu ya VIP ndio kuna viti nakuuliza huko kwengine watu watakalia zege, naomba unijibu bila hasira plz 😂😂😂
Sikujua Kasarani yote ni sehemu ya VIP. Ebu tuonyeshe sehemu watu wanakalia zenye tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…