Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamiliki pesa wametoa wapi? 😅😅😅 Jeshi limekosa hela ya uniform lipate pesa ya kujenga stadium 60k? 🤣😂 Hao ni maleba wa mchina mmiliki
Wametoa from GOK, Jeshi lenu kinarambwa kule DRC na unataka kuongelea Jeshi imara that has defeated the 4th strongest terrorist group in the world.
 
There was a time wachawi walikuwa wanasema kwamba their Arusha mini Stadium itatangulia Talanta Stadium kumalizwa.

One year later😂😂😂👇👇

Talanta


Arusha mini Stadium of 20k seaters.😂😂

 
Huyu Kagame wa vitisho mbona hakuivamia Tanzania baada ya watu wake Wanyarandwa na mifugo yao kuswagwa kurudishwa Rwanda kutoka Tanzania?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…