Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hujasoma the content of the tweet and you are here laughing.

This is what the content says, AU blames Moody for falsely lowering Kenyan rating to negative then a year later returns it to positive where it was.

Wewe ni mjinga.
Kiingereza balaa.
 
Mtanzania ni mtu ambaye akikuchukia anataka kila mtu akuchukia na anapoona sii hivyo atajidanganya kuwa kila mtu anakuchukia. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hawa akina Kagame na Mseven bado wapo na mentality za kizamani zana warmonger

Dunia sasa inaachana na maendeleo ya kutegemea vita na kuua watu.
 
Unapigia mbuzi gitaa.
 
Construction activities nimeskia umesimama pale Arusha mini stadium baada ya Tinga tinga ya kuchimba foundation kupotea msituni.

Meanwhile Talanta Stadium, it’s supposed to go up to 5th floor, Makwapa Stadium is only 2 floors.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…