Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kweli wakenya ni wagonjwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jamaa ni lichoko kweli hili, sasa kama unayajua hayo, mbona unatukana watu kujifanya you more intelligent or something while in fact you are nothing, canโ€™t even fix your terrible look. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
So if I pretend to be more intelligent as you claim, then challenge me on the subject matter and support your argument.
Besides, I didnโ€™t accept or deny anything, I just made a comment about why you are bothered about someoneโ€™s looks. Especially a man!!
Plus what has looks got to do with conversation?you seem to be intellectually disengaged and struggle with basic or complex topics such that you have to divert attention to irrelevant topics.
 
Lipia First class experience ya kukwama porini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View: https://x.com/cgitosh/status/1883695978311725229?s=46
kitu kinanishangaza how do u compare mbingu na ardhi yani wakenya ni kama mumechanganyikiwa na maisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kweli una compare bullet electric train yenye inakwenda 200km/hr vs old diesel train with speed of 100km/hr tena full of vibration, noise and smoke
 
and this is true, sijui kwann inatumika nguvu kubwa sana ya pesa kuaminisha watanzania hvi, inanishangaza sana, toka wamepita marais wote sijawah kuona nguvu kubwa ya ushawishi ikitumika kama awamu hii, inaniacha na maswali mengi
Nawewe unaingia kwenye propaganda za kipumbavu!?
 
Hawaezi elewa hawaโ€ฆ we are basically on the same page here. Hatutaki Raila akuwe head wa AU. Though he is gaining popularity
Kwendeni zenu huko, nyie mnavyopenda sifa huwa mnataka hata ikibidi kwa sifa mbaya lkn mpate sifa, sio nyie mlikuwa mnakesha humu mkimpigia kampeni ashinde? Sisi tuliwaambia kwenye mambo ya msingi kwa Africa hakuna mkenya atashinda hata nafasi ya ulinzi pale AU na mkabisha, kama mgombea angekuwa mtz lazima angeshinda cz tuna historia kubwa barani Africa, ila nyie hamna historia yoyote hapa Africa hamtawahi kupata uongozi wowote hapa Africa labda uongozi wa corruption na ma slums.
 
Nawewe unaingia kwenye propaganda za kipumbavu!?
hii ndio shida yetu watanzania sijui kwann hatupendi kukubaliana na ukweli, ni kweli kilichoongelewa, kwan unafkiri mpinzani wako ww yote atakayaongea ni ya uongo its not true kuna amabayo ataongea ni ya ukweli pia, so u have to admit it, na wakat mqwngine mpinzani wako anaeza kua anamsaada kwako kwa kukuambia madhaifu yako na ukawa imara zaidi, so sometimes tuwe wazalendo wa ku admit na ukweli pia.
 
Hiyo ni shida yako usituunganishe wengine. I don't give a shit with stupid propaganda

Tunaongelea projects wewe unaleta mambo ya kikenya ya kujadili travial issues. Issue ya mabango kuwepo au kutokuwepo inaongeza nini katika hii battle ya maendeleo? ๐Ÿ˜ก ๐Ÿ˜ก ๐Ÿ˜ก ๐Ÿ˜ก
 
Inakwenda wapi na kazi ni kukwamakwama, anyway hio ilikuwa ni comparison ya premium class sio speedโ€ฆ alafu ni wewe tu uliyepost huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sio mwingine..
 
Kwendraa pumbavu wewe ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ