AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,289
- 3,214
Sasa pelekea wanaojenga Talanta hiyo article yako waandike hapa😂😂😂👇👇👇
View attachment 3214600View attachment 3214601
Alie sign mkataba anajua zaidi yako.
Sasa pelekea wanaojenga Talanta hiyo article yako waandike hapa😂😂😂👇👇👇
View attachment 3214600View attachment 3214601
Kwa lugha rahisi huu uwanja ni wa huyo mwekezaji mpaka hela yake irudi. Hapo kwenye hela kurudi ndio kuna sarakasi mnaweza kujikita hela 'hairudi' miaka 50.
Ebu tuonyeshe penye Huyo alisign mkataba, nimekaa pale nangoja.Alie sign mkataba anajua zaidi yako.
View attachment 3214607
Unaumia ukiwa wapi?Fact!
Uwanja utakuwa chini ya miliki ya Mchina mpaka hela Yote ya ujenzi irudi. Sasa kwa hawa kenge walivyo na muamuko mdogo kwenye mpira wa miguu ndio hapo mchina ataushikilia hata kwa 50yrs.
Ikivuka labda kama wameweka collateral nyingine iende.
Hela kurudi na sio watu wa kujaa viwanjani kuangalia mpira! 😂😂😂Fact!
Uwanja utakuwa chini ya miliki ya Mchina mpaka hela Yote ya ujenzi irudi. Sasa kwa hawa kenge walivyo na muamuko mdogo kwenye mpira wa miguu ndio hapo mchina ataushikilia hata kwa 50yrs.
Ikivuka labda kama wameweka collateral nyingine iende.
Ebu tuonyeshe penye Huyo alisign mkataba, nimekaa pale nangoja.
Another white elephant project.Hela kurudi na sio watu wa kujaa viwanjani kuangalia mpira! 😂😂😂
Counties with zero connection?? Hebu tutajie hizo countiesHizo data umetoa wapi? Wakati Kunyaland kuna counties zero access to electricity?
Hao hawapimi nyumba zilizo na umeme, wanapima kufikisha transformer kijijini. Eti si kazi ya serikali kupeleka umeme nyumbani 😅Ebu taja hizo counties.
Kwa mambo ya connectivity please tafuta Burundi na South Sudan ushindane nao.
View attachment 3214431
Itakuwa hivi.Another white elephant project.
Na hapo sio hela kurudi tu, pia mchina atakuwa ana watoza maintenance fee maana huo uwanja utachakaa sana baada ya Afcon utakosa matumizi.
Unaumia ukiwa wapi?
Kati yako na Mchina anayejenga nani mjinga?alaf chizi anakwambia talanta sio PPP😂
![]()
REVEALED: Ksh 45 Billion...The Cost of Building Talanta Stadium - Nairobi Wire
As Kenya prepares to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), the construction of Talanta stadium along Ngong road is progressing well. The stadium will be the first of international sporting facility constructed in the country in decades. In fact, Moi International Sports Centre at Kasarani...nairobiwire.com
No wondef their electricity connectivity rate is still at 30%😂😂😂Hao hawapimi nyumba zilizo na umeme, wanapima kufikisha transformer kijijini. Eti si kazi ya serikali kupeleka umeme nyumbani 😅